Silaha za Urusi ni bora kuliko za Marekani, ni kimbilio la mataifa mengi kuanzia sasa

Karibuni
 
Watu wanavyobishana humu kuhusu siraha unaweza kudhani ni ma engineer wa siraha au wachambuzi wa silaha[emoji23][emoji23][emoji23]
Uchambuzi niufuatiliaji tu ndio maana hata wachambuzi soka wengi wao hata danadana moja hawapigi
 
USA ni weupe sana kwenye kupimana ubavu na Russia anachoweza USA ni mdomo mwingi sana na propaganda za mitandaoni
Ni sawa na mbwa koko akikuona mbali anabweka sana ila ukimkaribia anatoka nduki
 
USA ni weupe sana kwenye kupimana ubavu na Russia anachoweza USA ni mdomo mwingi sana na propaganda za mitandaoni
Ni sawa na mbwa koko akikuona mbali anabweka sana ila ukimkaribia anatoka nduki
baruti
 
Mungu hawapendi wazungu, amewavumilia amechoka

Propaganda za magharibi, oooh Putin yu mahututi, kachanganyikiwa ni uongo mtupu. Ona mwanaume anakata mitaa nchi nyingine kusaidia na wa huko kwingine.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…