Silent Hero Huyu ni Mzalendo wa Kweli wa Taifa Hili, Ndie Aliyefanya Katiba Ifuatwe Mama Akawa!. Apewe Maua Yake!... Stahiki ni kuwa DGIS in Future!

Utetezi mwingi.

Dear mama nyingi.

Ile ripoti aliyoomba Samia ya transaction zilizofanyika BoT tangu January - March 2021 ipo wapi?

Unajua kwanini aliiomba?
Aliiomba kwasababu alidanganywa watu wamechota na wamepiga pesa, wakampa hesabu ya xpenditure, kuzunguka na gulf stream mara Nairobi mara India,sio pesa ndogo!。 Hata ripoti ya kifo cha yule Mzee pia ilitoka fasta!。
P
 
Chahali hafai.
Yule ndiye aliyefichua siri za Magufuli na kuwawezesha adui zake wamtoe uhai.
Mkuu Popi,@Poppy Hatonn usimsingizie Chahali,kosa ni la wale jamaa zetu wa siku hizi,ni hamna kitu kabisa!。
Angalia tuliwatonnya hapa,
P
 


Inawezekana mambo yanatakiwa kupikwa upya😂😂😂😂
 
Mossad iliwahi kuwa na agent wake aliyejiua ndani ya jela yenye hadhi ya MAXIMUM SECURITY. Aliitwa Ben Allen Zyg.

Inasemekana aliwazunguka wenzake na kutoa habari nyeti za kupata wapi walizikwa askari kadhaa wq Israel ambao miili yao haijapatikana wakati wa vita vya Lebanon.

Jamaa alikuwa mjuaji, kiburi na kufikiria alikuwa ana akili nyingi kuliko wenzake. Ila wenzake hao hao na akili zao ndogo walimkamata na katika hali isiyokuwa ya kawaida akajinyonga mwenyewe.

Baada ya kifo, serikali ya Israel ilisema sio kila kitu kinafaa kuzungumzwa kwenye public. Usalama wa Israel ndio priority ya kwanza.

Kuna kizazi cha udanganyifu na ujuaji kimejaa kwenye hizi tasinia. Ingawa wanasema ni wazalendo, wengi ni kiburi, ujuaji, ukosefu wa nidhamu, na hata mara nyingine wanapenda dunia ijue wao ni kina nani.

Ujasusi wa leo ni tofauti na wa jana. We must have a composed person with high level of integrity and can vision far beyond the desks of politicians.
 
Pascal kwahiyo wewe unaamini kabisa Magufuli alifariki tarehe 17 tena hapo Emilio Mzena memorial hospital?
 
Wazee hawataki zereu
 

Hivi Paskali, nani aliyefanya mambo yaliyotufikisha hapa tulipo? Ni hao hao ambao wanaendelea kugawana majukumu jinsi wanavyotaka.

Halafu tunataka hao hao watutoe tulipo. That is to insult our own intelligence 😂 😂 😂 😂 😂
 
Kuna wakati unakisema ila kwenye maneno yanayoruka ruka kama kipepeo...wenyeee wanaelewa ila hakuna namna ya kusema kama alivyosema Slaa juzi kati
Okay baada ya mchonga kuachia ngazi , si kwa matakwa yake bali organ aliyeianzisha mwenyewe ilimkataa kwa sera zake mbovu za uchumi.
Na ilikuwa kwa lengo zuri , ili kufufua uchumi ulio kufa, ss hawa mabwana wamenogewa hawataki kuachia asali, na Wala hawejengi misingi mizuri kila citizens afaidi keki ya company, wao wanajiangalia wao na kizazi cha 3, imefikia hatua mpaka wanamiliki makundi ya utekaji na uhalifu, so saivi wanapukutishwa ibakie ngome MOJA TU, isiyo kuwa na wahuni na wasaliti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…