Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Nipo Zanzibar dogo.karibu sana upunge upepo wa visiwani labda unaweza kupata hata akili kichwani mwako.Labda Chunya kuna bar inaitwa Zanzibar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo Zanzibar dogo.karibu sana upunge upepo wa visiwani labda unaweza kupata hata akili kichwani mwako.Labda Chunya kuna bar inaitwa Zanzibar
Aliiomba kwasababu alidanganywa watu wamechota na wamepiga pesa, wakampa hesabu ya xpenditure, kuzunguka na gulf stream mara Nairobi mara India,sio pesa ndogo!。 Hata ripoti ya kifo cha yule Mzee pia ilitoka fasta!。Utetezi mwingi.
Dear mama nyingi.
Ile ripoti aliyoomba Samia ya transaction zilizofanyika BoT tangu January - March 2021 ipo wapi?
Unajua kwanini aliiomba?
Mkuu Ozon, ni kweli ila ni baadhi tuu,hii thread sio ya watoto!。Nyuzi za Mayalla zinahitaji jicho LA tatu kuzielewa
Mkuu Popi,@Poppy Hatonn usimsingizie Chahali,kosa ni la wale jamaa zetu wa siku hizi,ni hamna kitu kabisa!。Chahali hafai.
Yule ndiye aliyefichua siri za Magufuli na kuwawezesha adui zake wamtoe uhai.
Kwanza EK sio Mganda ni Mtanzania!,kabla ya kitabu cha EK uliwahi kumuona any known TISS akifunguka mambo ya TISS?。
P
Mkuu Popi,@Poppy Hatonn usimsingizie Chahali,kosa ni la wale jamaa zetu wa siku hizi,ni hamna kitu kabisa!。
Angalia tuliwatonnya hapa,
P
- JPM alipoanza kupangiwa mipango miovu, niliripoti humu Security alert kwa Serikali yetu: Tuwe makini sana na Marekani, kuna kitu kinapangwa halafu wajifanye walionya kabla. Je, wanapanga kutu-Libya?
- Mabeberu walipoanza mipango miovu, niliripoti humu US/EU Walimtoa Saadam, Ghadafi na Mugabe? Je, wanapanga kumtoa Rais Magufuli madarakani? Watanzania wazalendo tutakubali?
- JPM alipobadili sheria ya madini na rasilimali za taifa, nikauliza humu tutaweza kumlinda?. Zita Act Retroactively? Tutavunja Mikataba Yote Iliyopo? Can we Stand? Do we have the Guts?
- Its very unfortunately,tuliwategemea walemasanamu, tukashindwa kumprotect, akatwaliwa!.
Nchi hii ina visa sana, Azim Premji kazaliwa Kigoma akaambiwa sio raia, Bashe kazaliwa Nzega kaambiwa sio raia,Kakobe kaambiwa sio raia, Askofu Niwemugizi, Aidan Eyakuze, Jenerali Ulimwengu, Kinana etc etc wote ni raia!。Kwanini walimsakizia ni mganda?
Pascal kwahiyo wewe unaamini kabisa Magufuli alifariki tarehe 17 tena hapo Emilio Mzena memorial hospital?Aliiomba kwasababu alidanganywa watu wamechota na wamepiga pesa, wakampa hesabu ya xpenditure, kuzunguka na gulf stream mara Nairobi mara India,sio pesa ndogo!。 Hata ripoti ya kifo cha yule Mzee pia ilitoka fasta!。
P
Wazee hawataki zereuMossad iliwahi kuwa na agent wake aliyejiua ndani ya jela yenye hadhi ya MAXIMUM SECURITY. Aliitwa Ben Allen Zyg.
Inasemekana aliwazunguka wenzake na kutoa habari nyeti za kupata wapi walizikwa askari kadhaa wq Israel ambao miili yao haijapatikana wakati wa vita vya Lebanon.
Jamaa alikuwa mjuaji, kiburi na kufikiria alikuwa ana akili nyingi kuliko wenzake. Ila wenzake hao hao na akili zao ndogo walimkamata na katika hali isiyokuwa ya kawaida akajinyonga mwenyewe.
Baada ya kifo, serikali ya Israel ilisema sio kila kitu kinafaa kuzungumzwa kwenye public. Usalama wa Israel ndio priority ya kwanza.
Kuna kizazi cha udanganyifu na ujuaji kimejaa kwenye hizi tasinia. Ingawa wanasema ni wazalendo, wengi ni kiburi, ujuaji, ukosefu wa nidhamu, na hata mara nyingine wanapenda dunia ijue wao ni kina nani.
Ujasusi wa leo ni tofauti na wa jana. We must have a composed person with high level of integrity and can vision far beyond the desks of politicians.
Utakoma at wewe una urai pacha bisha na hiiNchi hii ina visa sana, Azim Premji kazaliwa Kigoma akaambiwa sio raia, Bashe kazaliwa Nzega kaambiwa sio raia,Kakobe kaambiwa sio raia, Askofu Niwemugizi, Aidan Eyakuze, Jenerali Ulimwengu, Kinana etc etc wote ni raia!。
P
Nchi hii ina visa sana, Azim Premji kazaliwa Kigoma akaambiwa sio raia, Bashe kazaliwa Nzega kaambiwa sio raia,Kakobe kaambiwa sio raia, Askofu Niwemugizi, Aidan Eyakuze, Jenerali Ulimwengu, Kinana etc etc wote ni raia!。
P
Mkuu Kuna kitu nataka kusema ila nasita 😂 sanaHivi Paskali, nani aliyefanya mambo yaliyotufikisha hapa tulipo? Ni hao hao ambao wanaendelea kugawana majukumu jinsi wanavyotaka.
Halafu tunataka hao hao watutoe tulipo. That is to insult our own intelligence 😂 😂 😂 😂 😂
Mkuu Kuna kitu nataka kusema ila nasita 😂 sana
mimi sina uraia pacha ila wife is a US subject kids ndio raia pacha!。Utakoma at wewe una urai pacha bisha na hii
Okay baada ya mchonga kuachia ngazi , si kwa matakwa yake bali organ aliyeianzisha mwenyewe ilimkataa kwa sera zake mbovu za uchumi.Kuna wakati unakisema ila kwenye maneno yanayoruka ruka kama kipepeo...wenyeee wanaelewa ila hakuna namna ya kusema kama alivyosema Slaa juzi kati