SIMANZI MOROGORO: Ajali mbili za usiku zasababisha vifo vya watu 32 na majeruhi 37

Mkoa wa Morogoro na Taifa tumekumbwa na simanzi kubwa kufuatia ajali mbili mbaya za barabarani zilizotokea usiku wa kuamkia leo Ijumaa, Oktoba 9, 2026, na kusababisha vifo vya jumla ya watu 32 na majeruhi zaidi ya 37.

Ajali ya kwanza na yenye maafa makubwa zaidi ilitokea majira ya saa 4:30 usiku huko Mkambarani kwenye barabara ya kuelekea Dar es Salaam, ikihusisha basi la abiria la kampuni ya Drim Line (T 672 DLT) lililokuwa likitokea Dar es Salaam kwenda Mbeya na lori la Scania (T 902 EGN) lililobeba mbao. Magari hayo yaligongana uso kwa uso na kuwaka moto mkubwa ulioteketeza miili ya marehemu, ambapo watu 28 walipoteza maisha (abiria 27 wa basi na mtu mmoja kwenye lori) huku watu 37 wakijeruhiwa vibaya kwa moto na fractures na kukimbizwa hospitalini baada ya uokoaji wa usiku kucha uliohusisha vikosi vya Zimamoto.

Uchunguzi wa awali wa Jeshi la Polisi unaonyesha ajali hii ilisababishwa na uzembe wa dereva wa lori aliyekuwa akijaribu kuyapita magari mengine bila tahadhari.

Ajali ya pili ilitokea mapema kidogo majira ya saa 12:45 jioni ya Alhamisi huko Miti Bora, Dumila (Wilaya ya Mvomero) kwenye barabara kuu ya kuelekea Dodoma, ambapo gari la Jeshi la Polisi lililokuwa na askari waliokuwa doria liligongana na lori lingine la Scania. Ajali hii ilisababisha vifo vya watu 4, wakiwemo askari polisi watatu na raia mmoja, huku askari wengine kadhaa wakijeruhiwa.

Kwa sasa, majeruhi wote wanapatiwa matibabu ya dharura katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro, huku Kamanda wa Polisi wa Mkoa huo, ACP Andrew Kantimbo, akitoa wito wa tahadhari kwa madereva huku uchunguzi zaidi wa kisheria ukiendelea.

09 September 2026
Morogoro, Tanzania

ZAIDI YA WATU 29 WAPOTEZA MAISHA AJALI MBAYA IMETOKEA MORORGORO Tanzania

A bus collides with a lorry, both vehicles burst into flames. The crash occurred at Mkambarani area, of Kingolwira, within a spot known as 'Kikombe cha Chai,' in the Morogoro Municipality in Tanzania

View: https://m.youtube.com/watch?v=fMQZukH6CMU
Eneo la Kingolwira Mkambarani Kikombe cha chai Morogoro, Tanzania.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, ACP Andrew Kantimbo, amethibitisha kutokea kwa ajali hizo, akieleza kuwa ajali ya kwanza ilitokea eneo la Miti Bora, kati ya Dakawa na Dumila, wilayani Mvomero, majira ya saa 6:45 usiku wa Oktoba 8, 2026.

TOKA MAKTABA
A ROAD STRETCH TOO DANGEROUS

01 January 2026
10 WAPOTEZA MAISHA MOROGORO
Ten killed, 18 injured in Morogoro bus–lorry crash - The Citizen Tanzania
MOROGORO: TEN people were killed and 18 others injured after a truck and a minibus collided head-on and burst into flames in Morogoro on ...

View: https://m.youtube.com/watch?v=8GRxPek3Nio
1 Jan 2026 —
The accident occurred on December 31, 2025, in the evening at Maseyu Village, along the Morogoro–Dar es Salaam highway, when a Mitsubishi

Published: 19 March ,2022: 01:53 PM GSTUpdated: 19 March ,2022: 02:26 PM GST

22 WAPOTEZA MAISHA KTK AJALI MOROGORO​

Tanzania bus and lorry collision kills at least 22​

At least 22 people died after a bus crashed into a lorry in Morogoro Tanzania on Friday, the police said.

The accident also injured 38 people, the police said in a statement.

View: https://m.youtube.com/shorts/ADP_QvpCNxc
A police chief in the eastern region of Morogoro, Fortunatus Muslim, said the accident occurred in Melela Kibaoni, some 200 kilometers (120 miles) west of the coastal city and economic hub Dar es Salaam

View: https://m.youtube.com/watch?v=j_g-L0o3QTQ
 
Mkoa wa Morogoro na Taifa tumekumbwa na simanzi kubwa kufuatia ajali mbili mbaya za barabarani zilizotokea usiku wa kuamkia leo Ijumaa, Oktoba 9, 2026, na kusababisha vifo vya jumla ya watu 32 na majeruhi zaidi ya 37.

Ajali ya kwanza na yenye maafa makubwa zaidi ilitokea majira ya saa 4:30 usiku huko Mkambarani kwenye barabara ya kuelekea Dar es Salaam, ikihusisha basi la abiria la kampuni ya Drim Line (T 672 DLT) lililokuwa likitokea Dar es Salaam kwenda Mbeya na lori la Scania (T 902 EGN) lililobeba mbao. Magari hayo yaligongana uso kwa uso na kuwaka moto mkubwa ulioteketeza miili ya marehemu, ambapo watu 28 walipoteza maisha (abiria 27 wa basi na mtu mmoja kwenye lori) huku watu 37 wakijeruhiwa vibaya kwa moto na fractures na kukimbizwa hospitalini baada ya uokoaji wa usiku kucha uliohusisha vikosi vya Zimamoto.

Uchunguzi wa awali wa Jeshi la Polisi unaonyesha ajali hii ilisababishwa na uzembe wa dereva wa lori aliyekuwa akijaribu kuyapita magari mengine bila tahadhari.

Ajali ya pili ilitokea mapema kidogo majira ya saa 12:45 jioni ya Alhamisi huko Miti Bora, Dumila (Wilaya ya Mvomero) kwenye barabara kuu ya kuelekea Dodoma, ambapo gari la Jeshi la Polisi lililokuwa na askari waliokuwa doria liligongana na lori lingine la Scania. Ajali hii ilisababisha vifo vya watu 4, wakiwemo askari polisi watatu na raia mmoja, huku askari wengine kadhaa wakijeruhiwa.

Kwa sasa, majeruhi wote wanapatiwa matibabu ya dharura katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro, huku Kamanda wa Polisi wa Mkoa huo, ACP Andrew Kantimbo, akitoa wito wa tahadhari kwa madereva huku uchunguzi zaidi wa kisheria ukiendelea.

May their beautiful soul rest in heavenly place.Amen
 
duh... ajali haina kinga mkuu
Kauli ya hovyo, kizembe, kimasikini na ya mtu aliyekata tamaa. Kauli kama hizi huwezi kuzisikia kwa wenzetu walioendelea ambako kila ajali huchukuliwa kama darasa ili kuzuia ajali nyingine yenye visababishi vinavyofanana isijirudie. Lakini sisi huku ndo utasikia kauli hizi za kipunguani oooh ajali haina kinga mara eti ni mipango ya Mungu. Shithole countries!
 
Nashindwa kuweka picha maana bas limeungua lote,miili imeungua ,imekusanywa Kweny mifuko mieusi,ukweli ni simanzi kubwa sana

Hili gari la polisi lilikuwa doria ,askari wameamka vzr wanaenda kaziin lakin ndo hivyo .

Ukiona ajari ni simanzi kubwa idadi ya vvifo inatisha..

Mwenyezi Mungu awapumzishe kwa amani
Mweeee mweee
 
Bas kama vipi kuepo na mdahalo wa kitaifa
Tasisi au asasi mbalimbali zihushwe
Mdahalo wa nini? Kwani chanzo cha hizi ajali hakijulikani? Malori mengi yaliyoko huko barabarani ni mabovu. Unafikiri ni kwa nini bado yako barabarani? Unafikiri ni kwa nini madereva wengi hawajali sheria za barabarani? Unafikiri ni kwa nini mpaka leo barabara kuu kama hiyo ya Dar - Mwanza ina lanes mbili tu tena nyembamba kiasi kwamba kupishana kwa magari makubwa ni shida? Bado unafikiri kufanya mdahalo ndiyo itasaidia? You must be so naive!

JPM alikuwa ameanza mikakati ya kuipanua hiyo barabara iwe angalau na lanes 4 - mbili zinakwenda na mbili zinarudi na alikaribia kufika Kibaha. Asingeuliwa bila shaka angekomaa na sasa si ajabu barabara ile ingefunguka.

Haya fanyeni hiyo midahalo labda itasaidia 😂😂😂😂
 
Mkoa wa Morogoro na Taifa tumekumbwa na simanzi kubwa kufuatia ajali mbili mbaya za barabarani zilizotokea usiku wa kuamkia leo Ijumaa, Oktoba 9, 2026, na kusababisha vifo vya jumla ya watu 32 na majeruhi zaidi ya 37.

Ajali ya kwanza na yenye maafa makubwa zaidi ilitokea majira ya saa 4:30 usiku huko Mkambarani kwenye barabara ya kuelekea Dar es Salaam, ikihusisha basi la abiria la kampuni ya Drim Line (T 672 DLT) lililokuwa likitokea Dar es Salaam kwenda Mbeya na lori la Scania (T 902 EGN) lililobeba mbao. Magari hayo yaligongana uso kwa uso na kuwaka moto mkubwa ulioteketeza miili ya marehemu, ambapo watu 28 walipoteza maisha (abiria 27 wa basi na mtu mmoja kwenye lori) huku watu 37 wakijeruhiwa vibaya kwa moto na fractures na kukimbizwa hospitalini baada ya uokoaji wa usiku kucha uliohusisha vikosi vya Zimamoto.

Uchunguzi wa awali wa Jeshi la Polisi unaonyesha ajali hii ilisababishwa na uzembe wa dereva wa lori aliyekuwa akijaribu kuyapita magari mengine bila tahadhari.

Ajali ya pili ilitokea mapema kidogo majira ya saa 12:45 jioni ya Alhamisi huko Miti Bora, Dumila (Wilaya ya Mvomero) kwenye barabara kuu ya kuelekea Dodoma, ambapo gari la Jeshi la Polisi lililokuwa na askari waliokuwa doria liligongana na lori lingine la Scania. Ajali hii ilisababisha vifo vya watu 4, wakiwemo askari polisi watatu na raia mmoja, huku askari wengine kadhaa wakijeruhiwa.

Kwa sasa, majeruhi wote wanapatiwa matibabu ya dharura katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro, huku Kamanda wa Polisi wa Mkoa huo, ACP Andrew Kantimbo, akitoa wito wa tahadhari kwa madereva huku uchunguzi zaidi wa kisheria ukiendelea.

Malori ni mengi sana barabarani toka kifo cha Rais Magufuli
 
Back
Top Bottom