Simba 1-0 Azam FC | Simba yatwaa ubingwa kombe la Mapinduzi

Sisi tulichungulia mziki wa Simba kisha tukaangalia kikosi chetu kilijaa watoto kina Nkane. Machale yakatucheza, tukaamua kuwaachia msala Azam.

Wala hatuna haja ya kuangalia game, maana Bingwa tayari ameshajulikana mapema.
vizuri sana mmejiongeza
 
Hawa wapigiwe PIRA biliani mixer minyamaminyama ya kushende...tunashushia na Azam 🥭 ya bariiidi...kitu mujarabu kabisa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…