Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
vizuri sana mmejiongezaSisi tulichungulia mziki wa Simba kisha tukaangalia kikosi chetu kilijaa watoto kina Nkane. Machale yakatucheza, tukaamua kuwaachia msala Azam.
Wala hatuna haja ya kuangalia game, maana Bingwa tayari ameshajulikana mapema.