Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,512
- 23,925
Mtanipa matokea, siangalii tena game imeshapoteza Mvuto, refa tayari ana matokeo yake nani ashinde.. ila hatufiki popote wanasimba wenzangu, penati ya 9 hii kwenye mechi 14 za ligi
kwani ukisema wewe Yanga utapungukiwa nini, una haja ya kuikana team yako