Simba 1-0 Prisons | Ligi kuu bara | Benjamin Mkapa

Simba 1-0 Prisons | Ligi kuu bara | Benjamin Mkapa

Dakika ya 80
Sumba 1-0 prisins
 
Halafu ukitulia nisaidie kujua game ngapi tumecheza bila kupata penalti na timu pinzani kukamilika wiziauti red card kisha tukaibuka na ushindi. 🤣🤣🤣
Hizo kumbukumbu zinatakiwa zitunzwe na meneja wa utopolo, sio mimi 🤣🤣🤣
 
Umekuja eeh nilijua tu ulikuwa ushajiandaa kucheka naona macho kodoo😂😂

Umesahau mlicho wafanya Namungo eeh !!!

Kila mtu ashinde mechi zake!!!

Hujambo lakini!?
Umekaonaeee
 
Nani kaona replay ya saizi kwenye ile foul iliyozaa penati?

Yani ni dhahiri kabisa jamaa alishika
 
Wabongo nana....Sasa Mtu kacheza rafu mlitaka Refa afanye nini...
 
Pale kwa jimyson ilitakiwa tupewe kilaka kingine maana jamaa kaangushwa vibaya sana
 
Mwamuzi Ahmada Simba anaibeba Simba
Kuna msimu alishawahi kufungiwa huyu kwa maamuzi yake tata! Tena ilikuwa ni mechi ya simba dhidi ya timu gani sijui ile! Ambako simba ilinufaika kupitia hayo maamuzi yake.
 
Sakho na jimyson wana undungu?
 
Back
Top Bottom