FT: Simba SC 1-1 RS Berkane (Agg: 1-3) |
Ni kufa au kupona.
Ni fainali ya mkondo wa pili katika kombe la shirikisho barani Afrika.
Simba SC Vs RS Berkane, mchezo wa kwanza Simba alifungwa 2-0.
Leo atakuwa na nafasi ya kujiuliza katika mchezo wa mkondo wa pili.
Mchezo ni saa 10:00 jioni kwa masaa ya Afrika Mashariki.
Kila la heri kwa wawakilishi wa Tanzania katika mchezo wa Fainali.
================================================
1’ Mpira umeanza
3’ Berkane wameanza kwa kasi kubwa
5’ Timu bado zinasomana
11’ Simba wanaongeza presha langoni mwa Berkane
16’ Goaaal: Mutale anawatanguliza Simba SC
20’ Wachezaji wa Berkane wameanza mbinu yao ya kujiangusha
22’ Kapombe anakosa goal la wazi kabisa baada ya kushindwa kumalizia krosi ya Mutale
30’ mpira umesimama kupisha Cooling break
32’ Mpira unaendelea…
35’ kocha wa Simba, Fadlu na msaidizi wake pamoja na Kapombe wanapewa kadi ya njano
40’ Mechi ni ngumu na timu zote zinacheza kwa tahadhari
41’ Khairi wa Berkane anapata kadi ya njano baada ya kumchezea vibaya Budo
43’ Mpira umesimama wachezaji wawili wapo chini wameumia
45’ Zinaongezwa dakika 6 kufidia muda uliopotea
HT’ Simba 1-0 RS Berkane
46’ Kipindi cha pili kimeanza
Kadi nyekundu kwa Yusuph Kagoma
58’ Mchezo umepoa baada ya Simba kuwa pungufu
70’ Kibu anaaingia nafasi ya Mutale
73’ Goal la Mukwala linafutwa baada kuwa offside