Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

1748120092059.jpg
 
Ni kufa au kupona.

Ni fainali ya mkondo wa pili katika kombe la shirikisho barani Afrika.

Simba SC Vs RS Berkane, mchezo wa kwanza Simba alifungwa 2-0.

Leo atakuwa na nafasi ya kujiuliza katika mchezo wa mkondo wa pili.

Huku Mpanzu, kule Kibu D, pale Jean Charles Ahoua. RS Berkane wajishikilie show itakuwa nzito.

Mwana Simba uliopo Nakuru, Mbarara, Ndola, Bukavu, Mpanda, na kwingineko tembea kifua mbele, hii tunabeba.

Live updates zitakujia hapa katika uzi huu, mchezo utakuwa mubashara Azam Sports 1HD, Super Sports 227HD, Bein Sports pamoja na Canal Sports.

Mchezo no saa 10:00 jioni kwa masaa ya Afrika Mashariki.

Kila la heri kwa wawakilishi wa Tanzania katika mchezo wa Fainali.

Simba Nguvu Moja!!
Moderator kama mtu sio wa timu husika asipewe nafasi ya kuanzisha huo uzi. Labda tu, wenyetimu zao wawe hawajaanzisha. Huu umamluki hatuutaki. Kila mtu aanzishe za kwake.
 
Nasubiri pira mwana ukome, lile pira sio mchezo wakuu, hadi mimi nilitetemeka.

Tukimaliza hapa Berkane wakishabeba kombe lao turudi kuzungumza kama nchi na sisi tutafika lini level ile?
Ya huku hayawahusuni zungumzia yenu
Shobo hatutaki
 
Ni kufa au kupona.

Ni fainali ya mkondo wa pili katika kombe la shirikisho barani Afrika.

Simba SC Vs RS Berkane, mchezo wa kwanza Simba alifungwa 2-0.

Leo atakuwa na nafasi ya kujiuliza katika mchezo wa mkondo wa pili.

Huku Mpanzu, kule Kibu D, pale Jean Charles Ahoua. RS Berkane wajishikilie show itakuwa nzito.

Mwana Simba uliopo Nakuru, Mbarara, Ndola, Bukavu, Mpanda, na kwingineko tembea kifua mbele, hii tunabeba.

Live updates zitakujia hapa katika uzi huu, mchezo utakuwa mubashara Azam Sports 1HD, Super Sports 227HD, Bein Sports pamoja na Canal Sports.

Mchezo no saa 10:00 jioni kwa masaa ya Afrika Mashariki.

Kila la heri kwa wawakilishi wa Tanzania katika mchezo wa Fainali.

Simba Nguvu Moja!!
Kila la heri kwa wawakilishi wa Tanzania katika mchezo wa Fainali.

Simba Nguvu Moja!!
💗💗💗💗💗
 
Back
Top Bottom