Simba 3-1 ASEC Mimosas | CAF Confederation Cup | Uwanja wa Mkapa

Simba 3-1 ASEC Mimosas | CAF Confederation Cup | Uwanja wa Mkapa

First Eleven

Screenshot_20220213_150145.jpg
 
Full Time
Mimosas 4- simba 0

Niwe mkweli leo simba hatutoboi kabisa tumezoea kubebwa
 
Makolo mnajitekenya na kucheka wenyewe. Kwa timu gani mliyonayo mpaka mshinde? 😁
 
Nikiwa kama simba kindakindaki nauliza
Je boko boko hajaanza?

Muanzisheni boko boko Wetu MO tuachie team yetu
Leo tunabugizwa 4 huo ndio ukweli
Au sio Scars simba mwenzangu?
 
Watanzania wanapenda kuchezea kwenye mitandao sana kuliko uwanjani. Tusubiri tuone leo.
 
Back
Top Bottom