Simba 3-1 ASEC Mimosas | CAF Confederation Cup | Uwanja wa Mkapa

Simba 3-1 ASEC Mimosas | CAF Confederation Cup | Uwanja wa Mkapa

Kila la kheri Mnyama. Hii ndio ligi yenu. Japo sijazisikia zile kauli mbiu zenu za Do or Die.

𝐊𝐈𝐊𝐎𝐒𝐈 𝐂𝐇𝐀 𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐃𝐇𝐈𝐃 𝐘𝐀 𝐀𝐒𝐄𝐂 𝐌𝐈𝐌𝐎𝐒𝐀𝐒
1. Aishi Manula
2. Shomari Kapombe
3. Mohamed Hussein
4. Joash Onyango
5. Enock Inonga
6. Jonas Mkude
7. Peter Banda
8. Sadio Kanoute
9. Meddie Kagere
10.Rally Bwalya
11.Sakho
SUB
Ally, Israel, Gadiel, Wawa, Nyoni, Mzamiru, Bocco, Muhilu, Jimmyson
Safi sana..Kila heri Mnyama Mkali Mwituni Simba SC
 
Kikosi cha Simba SC kikiwa uwanjani kupasha misuli moto tayari kwa mchezo
20220213_154405.jpg
20220213_154354.jpg
 
Mpira ndo kitu pekee kinachotufanya watz hata kama tunatofautiana kivyama ,tunaungana kitimu /kishabiki bila kujali tofauti zetu Kwa muda huo........

Kila la heri mnyama Simba.....💪
 
Hii game sijui kama tutatoboa, ila kikubwa tupo nyumbani kwaio ushindi ni muhimu.
Simba gufu moya
 
Back
Top Bottom