Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Leten kikosi kinachoanza acheni porojo🥴🥴🥴🥴
Boko boko namba 9Leten kikosi kinachoanza achani porojo🥴🥴🥴🥴
Leo umetuamulia aisee.Full Time
Mimosas 4- simba 0
Niwe mkweli leo simba hatutoboi kabisa tumezoea kubebwa
Nguvu Moya!Utatoa sana macho safari hii...Timu kubwa mechi kubwa!