Simba 3-1 ASEC Mimosas | CAF Confederation Cup | Uwanja wa Mkapa

Uto wanasubiri goli lirudishwe waje kukenua humu.


Simba nao wanataka kufanya ujinga wa kuanza kudefence kagoli kamoja tena dk ya 20 tu, tutafungwa.


Huyu dogo Banda ni [emoji91][emoji91][emoji91]
 
Maramamake bila kugonga mwamba lilikuwa lapili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…