Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuona umeshafika kuwanga kama kawaida yako..utopolo unajitesa sanaTunaongoza ila tumeshika roho mkononi. Simba gufu moya
Matatizo ya Simba Sc ni ya kisakolojia zaidi.Simba wakiongeza la pili fasta ntakua na amani.Simba wanatatizo la kupagawa endapo mpinzani atakaporudisha goli,na pia wanatatizo la kujisahau wanapoongoza.
Channel ganiAngalia kwa dstv mkuu
Niko kazini Mkuu..nafuatilia hapo kufahamu kinachoendeleaKikosi kipi kitaanza leo?, tunasubiri kwa hamu tuone modern football kutoka kwa mnyama Simba sports club.
bila kuwasahau wanasimba lialia wakali wa jf sports.
OKW BOBAN SUNZU
Utopologist
Kalpana
BRN
Zitto
Nyamizi
Mshana Jr
na wanasimba wengine woote dua,sala na maombi yenu kwa Simba ni muhimu.
tuwe pamoja hapa.
Wameamua kupaki basiSakho nje Mzamiru ndani, What a joke [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sio imepoa, hatuna uwezo mkuu. Goli la zali tu lileTimu yetu imepoa sana sielewi kwanini
Wewe subiri FA ndo mashindano pekee uliyobakiza tukiondoa Ligi kuu.Sakho nje Mzamiru ndani, What a joke [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sub kachemka kocha wenu, angeingia Dilunga.