Simba 3-1 ASEC Mimosas | CAF Confederation Cup | Uwanja wa Mkapa

Simba 3-1 ASEC Mimosas | CAF Confederation Cup | Uwanja wa Mkapa

Jamaani huu mpira wa Inonga mbona mkubwa sanaa.Me naona hafai kucheza ligi ya bongo
 
Safi sana mods kwa kuonganisha hizi nyuzi mbili ili twende sambamba.
 
Siamini kama Mechi naikosa Hii.

Azam App wamekata

Dstv Hii nchi niliopo Hawaoneshi

Hesgoal Inasumbua

Duuuu
 
Jitahidini basi kumwaga updates hizo, wengine hatuoni hiyo mechi.
 
Naamini haya GSM watakuwa wanampongeza dogo

6AE0434E-5973-4277-9D9C-0EE438A19023.jpeg
 
Back
Top Bottom