OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
injuredDilunga Hayupo Kwenye Kikosi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
injuredDilunga Hayupo Kwenye Kikosi
Nilishalisema hili tunamuhitaji winga mwenye Kasi machachali mbunifu msumbufu Kama Walcott,lenon au BaleHivi Simba haina winga wa pembeni sampo ya Morisson na Kibu Ili wakimbize mpira?
Moja ya sifa Yao kubwa hao majaaa wakisha tanguliwa hawachomoi imelala hiyoJapo tunaongoza goli moja ila so far Asec mimosas wametuzidi sana na ni suala la muda tu watasawazisha goli. Nipo tayari kuitwa utopolo
Technical bench ingeona hili kuelekea mechi. BM hizi mechi ni zakeHivi Simba haina winga wa pembeni sampo ya Morisson na Kibu Ili wakimbize mpira?
mkuu kama una extra user na mimi naomba utapata bia ya weekendDownload DStv Now nikupe email na password ila utanitoa hata ela ya bia tatu
Mkuu umejiwah[emoji23][emoji23]Japo tunaongoza goli moja ila so far Asec mimosas wametuzidi sana na ni suala la muda tu watasawazisha goli. Nipo tayari kuitwa utopolo
Hakika mkuu, tunacheza na wakubwa wenzetuUzuri huku hakunaga wachawi tunacheza na wajuaji wenzetu, sio ligi ya bongo watu wanaongoza ligi kwa uchawi
Hakika mkuu hujakosea ni bao la rooney enzi zake, mabao makubwa kwa tim kubwa....Nina miaka 18 naangalia EPL nimewahi ona hili goli mara 1 tu Rooney aliwafunga Man City 2011 kama sikosei
Mkuu nafasi zipo karibumkuu kama una extra user na mimi naomba utapata bia ya weekend
Mgonjwa Inabidi Tumwambie Ukweli[emoji23][emoji23][emoji23]
Kocha JWANENG GALAXY pia alisema hivyo mkuu.Kocha wa Al Ahly alishasema kuwa hakuna uwanja mgumu kupata matokeo kama uwanja wa mkapa akiwa Simba ndo mpinzani