OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
kmako[emoji23][emoji23][] wamekosa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kmako[emoji23][emoji23][] wamekosa
Mazuzu wenzako wamekupa like hakika utopolo ni utopoloYaani Thimba wanavyocheza utadhani wao ndio wageni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-J720F using JamiiForums mobile app
Hii post itasimama kama kumbukumbuThat was not cry for help
Tunaongea ili mjifunze kua refa yeyote anaweza akakosea pia, sio mara zote atakuwa sahihi
Hizi habari za kusema simba anapendelewa na kubebwa ni UJINGA na nimeona UTO wengi walisema kua huku federation mtafungwa kwasababu hakuna refa wa kuwabeba
Haya refa ndo huyo kapeta penati ya wazi kabisa mtu kashika, kwa hiyo ni busara kusema ASEC wanabebwa kwasababu Simba haijapewa haki yake?
Au na sisi tuandamane kwenda kwa raisi kuilalamikia CAF kuwa wanaipendelea ASEC?
Mabeki ndo wanapiga penati za uhakikaKapombe na penalt wapi na wapi
Wao ni mchongo tu...
SafiiiSimba 3 -1 asec