Simba 3-1 ASEC Mimosas | CAF Confederation Cup | Uwanja wa Mkapa

Simba 3-1 ASEC Mimosas | CAF Confederation Cup | Uwanja wa Mkapa

That was not cry for help

Tunaongea ili mjifunze kua refa yeyote anaweza akakosea pia, sio mara zote atakuwa sahihi

Hizi habari za kusema simba anapendelewa na kubebwa ni UJINGA na nimeona UTO wengi walisema kua huku federation mtafungwa kwasababu hakuna refa wa kuwabeba

Haya refa ndo huyo kapeta penati ya wazi kabisa mtu kashika, kwa hiyo ni busara kusema ASEC wanabebwa kwasababu Simba haijapewa haki yake?

Au na sisi tuandamane kwenda kwa raisi kuilalamikia CAF kuwa wanaipendelea ASEC?
Hii post itasimama kama kumbukumbu
 
Tuonesheni na mashabiki wa yanga sasa Azam maana Simba ilivyofungwa muliwaonesha wakiwa wanashangilia yaan leo yanga ni Mimosa
 
Back
Top Bottom