Simba 3-1 ASEC Mimosas | CAF Confederation Cup | Uwanja wa Mkapa

Simba 3-1 ASEC Mimosas | CAF Confederation Cup | Uwanja wa Mkapa

That was not cry for help

Tunaongea ili mjifunze kua refa yeyote anaweza akakosea pia, sio mara zote atakuwa sahihi

Hizi habari za kusema simba anapendelewa na kubebwa ni UJINGA na nimeona UTO wengi walisema kua huku federation mtafungwa kwasababu hakuna refa wa kuwabeba

Haya refa ndo huyo kapeta penati ya wazi kabisa mtu kashika, kwa hiyo ni busara kusema ASEC wanabebwa kwasababu Simba haijapewa haki yake?

Au na sisi tuandamane kwenda kwa raisi kuilalamikia CAF kuwa wanaipendelea ASEC?
Kuna tofauti kubwa kati ya "frequently" na " once in a blue moon"

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Haya utopolo njooni tusemezane
IMG_20220213_090036.jpg
 
Back
Top Bottom