Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo SafiiiDK 80
Simba SC 3 - 1 Memosas
Hizi mechi za nje ni za BoccoWakuuu embu nambieni huyu ndiye yule boko ninayemjua mm au
SawasawaNarudia tena tofauti ni kubwa sana kati ya kitaifa na kimataifa
Ukweli mchungu huuJapo tumeshinda ila mpira wa Simba ni mdogo sana, ushindi huu wa papatu papatu hauwezi kutufikisha mbali. Niko tayari kupigwa mawe
Kuna tofauti kubwa kati ya "frequently" na " once in a blue moon"That was not cry for help
Tunaongea ili mjifunze kua refa yeyote anaweza akakosea pia, sio mara zote atakuwa sahihi
Hizi habari za kusema simba anapendelewa na kubebwa ni UJINGA na nimeona UTO wengi walisema kua huku federation mtafungwa kwasababu hakuna refa wa kuwabeba
Haya refa ndo huyo kapeta penati ya wazi kabisa mtu kashika, kwa hiyo ni busara kusema ASEC wanabebwa kwasababu Simba haijapewa haki yake?
Au na sisi tuandamane kwenda kwa raisi kuilalamikia CAF kuwa wanaipendelea ASEC?
Huu utabiri kiboko