Mamba_Mtoni
JF-Expert Member
- Feb 18, 2023
- 420
- 766
Usiku wa deni haukawii mfunge mwarabu leo.ndo urud apaHuna timu ya kuifunga yanga goli hizo wewe, acha kujitutumia hapa baada ya kuwafunga wagonjwa.
Sawa, mkuu.Usiku wa deni haukawii mfunge mwarabu leo.ndo urud apa
Yanga Angoje Dawa Yake Ipo Jikoni Inachemka Sana Atainywa Ya Moto SanaIpo siku Yanga wataingia kwenye mfumo. Siku sio nyingi
Nyie hata makundi hamjamfikaaaa, nguvu za kuongea mnapata wapiii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wao wenyewe wanalijua hili. Ila we enjoy the moment mkuu, ya mbeleni tumwachie Mungu.
Ila sisi mara chache tulizowapiga, na tulikua tunapiga kweli kweli had panaozaaaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mzee baba, to get your facts rights ewe binadamu unayefurahia kuitwa mnyama, ni timu yenu pekee ndiyo inayoshikilia rekodi ya kufungwa mara nyingi zaidi na timu ya Yanga.
Yani tangu muwahi kuanzishwa hapa duniani, hamna timu duniani iliyowabamiza mara kibao kuishinda Yanga. Kama unabisha kalete data anywhere you know.
So stop braggin' as if you've conquered the whole world.