Simba 6 - 0 Yanga. Bado una nguvu za kusema Horoya wabovu?

Simba 6 - 0 Yanga. Bado una nguvu za kusema Horoya wabovu?

Wao wenyewe wanalijua hili. Ila we enjoy the moment mkuu, ya mbeleni tumwachie Mungu.
Nyie hata makundi hamjamfikaaaa, nguvu za kuongea mnapata wapiii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mzee baba, to get your facts rights ewe binadamu unayefurahia kuitwa mnyama, ni timu yenu pekee ndiyo inayoshikilia rekodi ya kufungwa mara nyingi zaidi na timu ya Yanga.

Yani tangu muwahi kuanzishwa hapa duniani, hamna timu duniani iliyowabamiza mara kibao kuishinda Yanga. Kama unabisha kalete data anywhere you know.

So stop braggin' as if you've conquered the whole world.
Ila sisi mara chache tulizowapiga, na tulikua tunapiga kweli kweli had panaozaaaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom