Simba bado inashikilia rekodi ya kuifunga yanga 6-0 ilibaki kidogo Yanga wafute rekodi, pongezi kwa Yanga.

Tunakumbushana tu kuwa rekodi ya 1977 ya goli sita bila bado haijavunjwa.
ile ya 5-0 timu zilishalipizana

1968: Yanga 5-0 Simba
1977:Simba 6-0 Yanga
2012: Simba 5-0 Yanga
2023:Simba 1-5 Yanga
Endelea na rekodi tu ....leo chupu chupu 7 ziwahusu
 
Tunakumbushana tu kuwa rekodi ya 1977 ya goli sita bila bado haijavunjwa.
ile ya 5-0 timu zilishalipizana

1968: Yanga 5-0 Simba
1977:Simba 6-0 Yanga
2012: Simba 5-0 Yanga
2023:Simba 1-5 Yanga
If you live in the past the future will never find you. poleni sana kwa maumivu.
 
Tunakumbushana tu kuwa rekodi ya 1977 ya goli sita bila bado haijavunjwa.
ile ya 5-0 timu zilishalipizana

1968: Yanga 5-0 Simba
1977:Simba 6-0 Yanga
2012: Simba 5-0 Yanga
2023:Simba 1-5 Yanga

ACHA KUJIFARIJI HAPA JE?
 
Kipindi ambacho timu zilikua zinacheza vifua wazi. Kipindi ambacho hata offsides hazikuwepo.
 
Tunakumbushana tu kuwa rekodi ya 1977 ya goli sita bila bado haijavunjwa.
ile ya 5-0 timu zilishalipizana

1968: Yanga 5-0 Simba
1977:Simba 6-0 Yanga
2012: Simba 5-0 Yanga
2023:Simba 1-5 Yanga
Wachezaji wa leo hawakuwepo kwakifupi leo ndiyo kesho ya jana ndiyo maana tuna usemi wa yaliyo pita sindwele tugane yajayo 5G wakati ule haikuwepo
 
[emoji1787][emoji23][emoji12]
 
Timu Mbovu zilizofungwa na Yanga Msimu huu 2023/2024 mpaka sasa;

1. KMC - Goli 5
2. JKT Tanzania - Goli 5
3. AZAM - Goli 3
4. SIMBA - Goli 5
 
Tunakumbushana tu kuwa rekodi ya 1977 ya goli sita bila bado haijavunjwa.
ile ya 5-0 timu zilishalipizana

1968: Yanga 5-0 Simba
1977:Simba 6-0 Yanga
2012: Simba 5-0 Yanga
2023:Simba 1-5 Yanga
Basi sawa!
 
Timu Mbovu zilizofungwa na Yanga Msimu huu 2023/2024 mpaka sasa;

1. KMC - Goli 5
2. JKT Tanzania - Goli 5
3. AZAM - Goli 3
4. SIMBA - Goli 5
Yanga wakishinda tuliambiwa wanacheza na timu mbovu je Simba ni timu mbovu kuliko ?
 
Mie sipo upande huo nimekumegeeni wenzenu wanvyolalamika huko!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…