Simba bado inashikilia rekodi ya kuifunga yanga 6-0 ilibaki kidogo Yanga wafute rekodi, pongezi kwa Yanga.

Simba bado inashikilia rekodi ya kuifunga yanga 6-0 ilibaki kidogo Yanga wafute rekodi, pongezi kwa Yanga.

Tunakumbushana tu kuwa rekodi ya 1977 ya goli sita bila bado haijavunjwa.
ile ya 5-0 timu zilishalipizana

1968: Yanga 5-0 Simba
1977:Simba 6-0 Yanga
2012: Simba 5-0 Yanga
2023:Simba 1-5 Yanga
Endelea na rekodi tu ....leo chupu chupu 7 ziwahusu
 
Tunakumbushana tu kuwa rekodi ya 1977 ya goli sita bila bado haijavunjwa.
ile ya 5-0 timu zilishalipizana

1968: Yanga 5-0 Simba
1977:Simba 6-0 Yanga
2012: Simba 5-0 Yanga
2023:Simba 1-5 Yanga
If you live in the past the future will never find you. poleni sana kwa maumivu.
 
Tunakumbushana tu kuwa rekodi ya 1977 ya goli sita bila bado haijavunjwa.
ile ya 5-0 timu zilishalipizana

1968: Yanga 5-0 Simba
1977:Simba 6-0 Yanga
2012: Simba 5-0 Yanga
2023:Simba 1-5 Yanga

ACHA KUJIFARIJI HAPA JE?
IMG_6224.jpg
 
Kipindi ambacho timu zilikua zinacheza vifua wazi. Kipindi ambacho hata offsides hazikuwepo.
 
Tunakumbushana tu kuwa rekodi ya 1977 ya goli sita bila bado haijavunjwa.
ile ya 5-0 timu zilishalipizana

1968: Yanga 5-0 Simba
1977:Simba 6-0 Yanga
2012: Simba 5-0 Yanga
2023:Simba 1-5 Yanga
Wachezaji wa leo hawakuwepo kwakifupi leo ndiyo kesho ya jana ndiyo maana tuna usemi wa yaliyo pita sindwele tugane yajayo 5G wakati ule haikuwepo
 
kwa mpira huu wa Yanga, kuna siku simba atakula hadi 10 bila. pira limepigwa wazi wazi kabisa unaona mnyama anahangaika wakati Yanga wanacheza kwa amani kabisa. simba mkubali tu kwamba kwa season hii Yanga wamewazidi mbali sana. hivi kweli simba ninyi walewale ndio wa kuhangaika namna ile utafikiri makuku ya kisasa?
[emoji1787][emoji23][emoji12]
 
Timu Mbovu zilizofungwa na Yanga Msimu huu 2023/2024 mpaka sasa;

1. KMC - Goli 5
2. JKT Tanzania - Goli 5
3. AZAM - Goli 3
4. SIMBA - Goli 5
 
Tunakumbushana tu kuwa rekodi ya 1977 ya goli sita bila bado haijavunjwa.
ile ya 5-0 timu zilishalipizana

1968: Yanga 5-0 Simba
1977:Simba 6-0 Yanga
2012: Simba 5-0 Yanga
2023:Simba 1-5 Yanga
Basi sawa!
 
Timu Mbovu zilizofungwa na Yanga Msimu huu 2023/2024 mpaka sasa;

1. KMC - Goli 5
2. JKT Tanzania - Goli 5
3. AZAM - Goli 3
4. SIMBA - Goli 5
Yanga wakishinda tuliambiwa wanacheza na timu mbovu je Simba ni timu mbovu kuliko ?
 
Anaangushiwa jumba bovu tu, tatizo kubwa ni mabeki wamecheza ovyo
Pia tuachane na kipa, mbona mmeshindwa kupata hata goli 2??
Hapo pia tatizo ni Kipa??

Kwa mfano mngeshinda goli 7- 5 mngemlaumu kipa?
Kufungwa goli zote hizo timu nzima inastahiki lawama msimuangushie jumba mbovu kipa
Mie sipo upande huo nimekumegeeni wenzenu wanvyolalamika huko!.
 
Back
Top Bottom