Village-in
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 2,184
- 4,517
Pole sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
If you live in the past the future will never find you. poleni sana kwa maumivu.Tunakumbushana tu kuwa rekodi ya 1977 ya goli sita bila bado haijavunjwa.
ile ya 5-0 timu zilishalipizana
1968: Yanga 5-0 Simba
1977:Simba 6-0 Yanga
2012: Simba 5-0 Yanga
2023:Simba 1-5 Yanga
Endelea na rekodi tu ....leo chupu chupu 7 ziwahusuTunakumbushana tu kuwa rekodi ya 1977 ya goli sita bila bado haijavunjwa.
ile ya 5-0 timu zilishalipizana
1968: Yanga 5-0 Simba
1977:Simba 6-0 Yanga
2012: Simba 5-0 Yanga
2023:Simba 1-5 Yanga
If you live in the past the future will never find you. poleni sana kwa maumivu.Tunakumbushana tu kuwa rekodi ya 1977 ya goli sita bila bado haijavunjwa.
ile ya 5-0 timu zilishalipizana
1968: Yanga 5-0 Simba
1977:Simba 6-0 Yanga
2012: Simba 5-0 Yanga
2023:Simba 1-5 Yanga
Tunakumbushana tu kuwa rekodi ya 1977 ya goli sita bila bado haijavunjwa.
ile ya 5-0 timu zilishalipizana
1968: Yanga 5-0 Simba
1977:Simba 6-0 Yanga
2012: Simba 5-0 Yanga
2023:Simba 1-5 Yang
Tunakumbushana tu kuwa rekodi ya 1977 ya goli sita bila bado haijavunjwa.
ile ya 5-0 timu zilishalipizana
1968: Yanga 5-0 Simba
1977:Simba 6-0 Yanga
2012: Simba 5-0 Yanga
2023:Simba 1-5 Yanga
Wachezaji wa leo hawakuwepo kwakifupi leo ndiyo kesho ya jana ndiyo maana tuna usemi wa yaliyo pita sindwele tugane yajayo 5G wakati ule haikuwepoTunakumbushana tu kuwa rekodi ya 1977 ya goli sita bila bado haijavunjwa.
ile ya 5-0 timu zilishalipizana
1968: Yanga 5-0 Simba
1977:Simba 6-0 Yanga
2012: Simba 5-0 Yanga
2023:Simba 1-5 Yanga
Wachezaji wa leo hawakuwepo kwakifupi leo ndiyo kesho ya jana ndiyo maana tuna usemi wa yaliyo pita sindwele tugane yajayo 5G wakati ule haikuwepoTunakumbushana tu kuwa rekodi ya 1977 ya goli sita bila bado haijavunjwa.
ile ya 5-0 timu zilishalipizana
1968: Yanga 5-0 Simba
1977:Simba 6-0 Yanga
2012: Simba 5-0 Yanga
2023:Simba 1-5 Yanga
[emoji1787][emoji23][emoji12]kwa mpira huu wa Yanga, kuna siku simba atakula hadi 10 bila. pira limepigwa wazi wazi kabisa unaona mnyama anahangaika wakati Yanga wanacheza kwa amani kabisa. simba mkubali tu kwamba kwa season hii Yanga wamewazidi mbali sana. hivi kweli simba ninyi walewale ndio wa kuhangaika namna ile utafikiri makuku ya kisasa?
Basi sawa!Tunakumbushana tu kuwa rekodi ya 1977 ya goli sita bila bado haijavunjwa.
ile ya 5-0 timu zilishalipizana
1968: Yanga 5-0 Simba
1977:Simba 6-0 Yanga
2012: Simba 5-0 Yanga
2023:Simba 1-5 Yanga
Yanga wakishinda tuliambiwa wanacheza na timu mbovu je Simba ni timu mbovu kuliko ?Timu Mbovu zilizofungwa na Yanga Msimu huu 2023/2024 mpaka sasa;
1. KMC - Goli 5
2. JKT Tanzania - Goli 5
3. AZAM - Goli 3
4. SIMBA - Goli 5
Anaangushiwa jumba bovu tu, tatizo kubwa ni mabeki wamecheza ovyo
Mie sipo upande huo nimekumegeeni wenzenu wanvyolalamika huko!.Anaangushiwa jumba bovu tu, tatizo kubwa ni mabeki wamecheza ovyo
Pia tuachane na kipa, mbona mmeshindwa kupata hata goli 2??
Hapo pia tatizo ni Kipa??
Kwa mfano mngeshinda goli 7- 5 mngemlaumu kipa?
Kufungwa goli zote hizo timu nzima inastahiki lawama msimuangushie jumba mbovu kipa