Just Distinctions
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 3,230
- 6,742
Simba wameyatimba🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana uchungu kuliko Mo.Leo nimeona watu wazima wanalia kilio uwanjani sio kutokwa tu na machozi Bali ni kilio kabisa sometimes football is crazy aiseee !!!
Manula amefanya wajibu wake hana kosa kuna saves kadhaa amefanya , tatizo ni ile beki na midfield inayocheza kwa sifa kuwa hakuna timu ya kuwafunga na kuvimba kichwa na AFL na robo fainali kadhaa za cafcl hawakujituma uwanjani .
Tusifike huku wana hata angedaka Nani kichapo kilikua palepale
AahaaaaaKipindi icho hakuna offside
Kutozaliwa kwako wee sio shida, hata leo wapo ambao hawajazaliwa na hili LA leo watalikuta.Usitutajie miaka ambayo wengine tulikuwa hata hatujazaliwa.
PoleeeeKutozaliwa kwako wee sio shida, hata leo wapo ambao hawajazaliwa na hili LA leo watalikuta.
[emoji419][emoji375]Tunakumbushana tu kuwa rekodi ya 1977 ya goli sita bila bado haijavunjwa.
ile ya 5-0 timu zilishalipizana
kwa mpira huu wa Yanga, kuna siku simba atakula hadi 10 bila. pira limepigwa wazi wazi kabisa unaona mnyama anahangaika wakati Yanga wanacheza kwa amani kabisa. simba mkubali tu kwamba kwa season hii Yanga wamewazidi mbali sana. hivi kweli simba ninyi walewale ndio wa kuhangaika namna ile utafikiri makuku ya kisasa?Tunakumbushana tu kuwa rekodi ya 1977 ya goli sita bila bado haijavunjwa.
ile ya 5-0 timu zilishalipizana
Poleee wee [emoji23][emoji23][emoji23]Poleeee
Mbna hilo pila Ihefu hamkuwaoneshaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwa mpira huu wa Yanga, kuna siku simba atakula hadi 10 bila. pira limepigwa wazi wazi kabisa unaona mnyama anahangaika wakati Yanga wanacheza kwa amani kabisa. simba mkubali tu kwamba kwa season hii Yanga wamewazidi mbali sana. hivi kweli simba ninyi walewale ndio wa kuhangaika namna ile utafikiri makuku ya kisasa?
hao ma ihefu sijui manini ni walima mpunga wa mbarari huko, ukijifanya unapiga pira lenyewe, wanakuvunja mguu na wao hawana cha kupoteza manake ihefu kucheza tu na yanga ni muujiza kwao.Mbna hilo pila Ihefu hamkuwaoneshaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa uchawi sio kwa nguvu zenu wenyewe mmefulia na mmeotea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee hebu sema kwelii.hao ma ihefu sijui manini ni walima mpunga wa mbarari huko, ukijifanya unapiga pira lenyewe, wanakuvunja mguu na wao hawana cha kupoteza manake ihefu kucheza tu na yanga ni muujiza kwao.
Tunakumbushana tu kuwa rekodi ya 1977 ya goli sita bila bado haijavunjwa.
ile ya 5-0 timu zilishalipizana
Ilikuwepo vizuri sana.Kipindi icho hakuna offside
Kwa hiyo ihefu ni bora kuliko simba?Mbna hilo pila Ihefu hamkuwaoneshaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]