Simba bado inashikilia rekodi ya kuifunga yanga 6-0 ilibaki kidogo Yanga wafute rekodi, pongezi kwa Yanga.

Simba bado inashikilia rekodi ya kuifunga yanga 6-0 ilibaki kidogo Yanga wafute rekodi, pongezi kwa Yanga.

Leo nimeona watu wazima wanalia kilio uwanjani sio kutokwa tu na machozi Bali ni kilio kabisa sometimes football is crazy aiseee !!!
Wana uchungu kuliko Mo.
 
Manula amefanya wajibu wake hana kosa kuna saves kadhaa amefanya , tatizo ni ile beki na midfield inayocheza kwa sifa kuwa hakuna timu ya kuwafunga na kuvimba kichwa na AFL na robo fainali kadhaa za cafcl hawakujituma uwanjani .

kwavile ni derby lazima atafutwe mtu wa kutupiwa lawama .
 
Kipigo kinauma Ila kitawasaidia Sana Simba . Kwa muda mrefu mashabiki walikuwa hawaridhiki na sajili zilizokuwa zinafanywa, upangaji was timu na Aina ya mpira uliokuwa unachezwa. Majibu yaliyokuwa yanatolewa no ya kikejeli Kama vipe we umetoka shilingi ngapi za usajili, kwani wewe ni kocha, kwanini usiombe kazi ya ukocha Simba wakati wanasahau shabiki ni mtu muhimu kwa timu. Matokeo ya leo yamewaumbua wale wote waliyokuwa wakijificha kupitia matokeo na matokeo haya yatawafanya viongozi wawajibike.
 
Tunakumbushana tu kuwa rekodi ya 1977 ya goli sita bila bado haijavunjwa.

ile ya 5-0 timu zilishalipizana
kwa mpira huu wa Yanga, kuna siku simba atakula hadi 10 bila. pira limepigwa wazi wazi kabisa unaona mnyama anahangaika wakati Yanga wanacheza kwa amani kabisa. simba mkubali tu kwamba kwa season hii Yanga wamewazidi mbali sana. hivi kweli simba ninyi walewale ndio wa kuhangaika namna ile utafikiri makuku ya kisasa?
 
Mbna hilo pila Ihefu hamkuwaoneshaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
hao ma ihefu sijui manini ni walima mpunga wa mbarari huko, ukijifanya unapiga pira lenyewe, wanakuvunja mguu na wao hawana cha kupoteza manake ihefu kucheza tu na yanga ni muujiza kwao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee hebu sema kwelii.
 
Tunakumbushana tu kuwa rekodi ya 1977 ya goli sita bila bado haijavunjwa.

ile ya 5-0 timu zilishalipizana

Simba imeshidwa vibaya tuishie hapo badala ya kwenda wakati wa Idd Amin
1699204850838.png
 
Back
Top Bottom