Simba Day: Simba SC yaisambaratisha Vital-O 6-0

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001




Tupo Tayari

Hatimaye ile sikukuu kubwa la kisoka Africa inafika kileleni leo katika viwanja vikubwa viwili Benjamin Mkapa na Uwanja wa Uhuru.

Tutakuwa hapa kuwapa updates ya matukio na mechi kali kati ya Simba SC Vs Vital O

Magoli yote ya Simba
Onyo
Nitakuwa wa mwisho kutomuunga mkono Mo Dewji. Puuza Utopolo na wavimba macho wote
 
Mlioko Uwanjani Uhuru na taifa tupieni picha maana muda Ndio huu mambo yamekwiva.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…