mkulu senkondo
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 1,862
- 3,574
Eti wakuu, hivi Simba atacheza na nani kwenye ngao? Ni kwa kugezo kipi? Ahsanteni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 1544705
Mnaosubiri saa 9 mnajidanganya. wahi sasa
Jamaa kapotea sana kwakweli.Ivi yuko wapi, mbn kapotea sana. Wakati huu mtamu
CC Ghazwat
Hili haliwezekaniNitacheeka saana wasipojaza hata Taifa. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Misukule ya mwamwedi
itakusaidia nini. ni umasikini wa akili kumchukia aliyefanikiwaNitacheeka saana wasipojaza hata Taifa. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Simba ni CCM Yanga kama CHADEMA
mashabiki wa simba mnakwama wapi, hamna kazi ya kufanya mnaenda uwanjani asubuhi asubuhi!
Misukule ya mwamwedi
Nitacheeka saana wasipojaza hata Taifa. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anacheza na Namungo kwa kuwa Namungo Ni Makamu bingwa wa Azam confederation cupEti wakuu, hivi Simba atacheza na nani kwenye ngao? Ni kwa kugezo kipi? Ahsanteni.
Anacheza na Namungo kwa kuwa Namungo Ni Makamu bingwa wa Azam confederation cup