Simba Day: Simba SC yaisambaratisha Vital-O 6-0

Simba Day: Simba SC yaisambaratisha Vital-O 6-0

IMG_20200822_170046.jpg
 
Uwanja wa taifa hata watu elfu 40 hawajafika shida Ni kiingilio kikubwa au Nini? Au watu wamechoka na sound za Mwamedi? Tukumbuke tupo uchumi wa kati
 
Una kipaji kikubwa cha uongo
Hata mamcho hayaoni? Uwanja Ni mweupe watu wako kwa makafirio ya haraka Ni 25,000 Hadi 32,000 mwanzo nilijua Tatizo Ni jua kuwa Kali, lakini pamoja na kivuli bado mapengo Ni mazito, Bora kiingilio kishuke Hadi bukubuku
 
Kuanzia mwakani Simba ifanye kuwa inaleta moja ya timu kubwa africa,ulaya hata marekani huko.

Hivi vitimu havitoi mileage ya kutosha.

Chukua hata moja ya timu pale epl,spain,italy

Hizi habari za next level zikae sawa zaidi.
Bora wewe unakubali udhaifu, ukweli Ni kuwa Uhuru kilikuwa na mashabiki wasiopungua 15imebidi TV zizimwe na wamerudishiwa 2000 zao. inasemekana TV hazikuwa na sauti na pia hazikutoa kwaliti ya kutoaha
 
Halafu mwenyeuzi naye laukimbia Yani, kakutana na wajumbe wa Dar asilaumu wamemsurprise
 
yaani hawa jamaa nawingi wao ila n mbumbumbu
 
Back
Top Bottom