permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Nilivyoona imeanza na Vita nikadhani Vita Club, kumbe hawa ni wengine.
View attachment 1544625
View attachment 1544671
View attachment 1544820
Tupo Tayari
Hatimaye ile sikukuu kubwa la kisoka Africa inafika kileleni leo katika viwanja vikubwa viwili Benjamin Mkapa na Uwanja wa Uhuru.
Tutakuwa hapa kuwapa updates ya matukio na mechi kali kati ya Simba SC Vs Vital O
Onyo
Nitakuwa wa mwisho kutomuunga mkono Mo Dewji. Puuza Utopolo na wavimba macho wote