Objective football
JF-Expert Member
- Oct 21, 2023
- 1,195
- 2,771
hakuna cha uvumilivu hapa, misimu mitatu club inatuzingua kwenye usajiliVumilieni tu YATAPITAπ
Kweli, hata Yanga walivumilia yakapita.Vumilieni tu YATAPITA[emoji23]
ngumu chief,club inapitia magumu kweliKweli, hata Yanga walivumilia yakapita.
Walipokua Yanga kusajili akina Patrick Sibomana ndipo walipo Simba kusajili akina Onana.
Viongozi wa Simba hamnazo, wenzao wanaenda mbele, wao wanarudi nyuma.
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
hatuwezi jilinganisha na yanga, hapa tunajadili mustakabali wa hii klabu yetuSawa hata Yanga hakupata matokeo dhidi ya ASEC Home and Away
Hiyo slogan mliokuja nayo yakujifanya mashabiki wa SIMBA wadanganyie wenzenu Papio anubishatuwezi jilinganisha na yanga, hapa tunajadili mustakabali wa hii klabu yetu
Kwahio?Tusichoshane Wana lunyasi wenzangu hio gemu hatutoboi, mbaya zaidi
walituahidi kuelekea hii gemu kocha mkuu mpya atakuwepo kwenye technical bench yetu.
Mpaka sasa matola na cadena bado wapo na tetesi ni kwamba Mgunda amesaini tayari mkataba wa kuitumikia TANZANIA PRISONS
Nawauliza viongozi wa club, hizi danadana mtatupiga hadi lini?
Liwalo na liwe,
Tumeshachoka kuongea.
Mtani sioni picha, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πππ pole Mtani wangu.Mtani sioni picha, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtanii tukutane mwakani, huu mwaka ushakua mbaya tayari.[emoji23][emoji23][emoji23] pole Mtani wangu.
#Yatakwisha.
Kabiisa. Hapa umesema Mtani. ππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtanii tukutane mwakani, huu mwaka ushakua mbaya tayari.
Yaan Simba inaboa mnoo.Kabiisa. Hapa umesema Mtani. [emoji23][emoji23]
[emoji1666]