Objective football
JF-Expert Member
- Oct 21, 2023
- 1,195
- 2,771
Tusichoshane Wana lunyasi wenzangu hio gemu hatutoboi, mbaya zaidi
walituahidi kuelekea hii gemu kocha mkuu mpya atakuwepo kwenye technical bench yetu.
Mpaka sasa matola na cadena bado wapo na tetesi ni kwamba Mgunda amesaini tayari mkataba wa kuitumikia TANZANIA PRISONS
Nawauliza viongozi wa club, hizi danadana mtatupiga hadi lini?