Simba hii michezo mliyoanza ya kuhonga marefa ili mshinde mechi itawapalia muda si mrefu, mmeanza wengine watamaliza na pasiwepo kelele!

Manara hakukosea kusema utopolo wenye akili watu wawili timu iko CAF Champions halafu tufungwe mashost wa utipolo au CAF Champions uko nako tulihonga
 
"MASHABIKI WA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE WANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE WANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"

- DR LUC EYMAEL 2020
 
Hizi habari zenu tumeshazizoea. Simba ikifanya vizuri mnakimbilia kumponda karia na marefa. Na msimu huu hadi mtoe majimaji kwenye matundu yenu yote yaliyopo mwilini.
 
Mpaka useme,Bado haujasema,utasematu, mwaka huu hakuna ubingwa wa kumtuma mtu akamfunge Mwingine, unataka ubingwa mfunge wewe ,team yako si Bora uchukue point sita Kwa mnyama .
 
Ukiona wanaongoza ligi ujue Simba haijacheza
 
Achana na iyo tuseme ni makosa ya kibinadamu, Rudi kwenye tukio lililo mhusisha Luis Kibonge Nickson.

Refa na line 2 kuto iona offside ambayo alizidi yapata mita 10/15 mpaka pale beki Nicholaus Wadada alipo mkimbiza ns kumpokonya mpira.
Ivi ata ao Caf wakiona tukio kama lile si wanafikiri ni ligi ya futuhi[emoji3][emoji3]
 
Kimataifa ndo kipimo tosha Cha ubora wa Ligi yetu

Tarehe Ishirini siyo mbali
 
Na bado hamjasema..... mpaka msemeeee......
 
Refa kumb wana ongwa
 
malalamiko haya tulisema mfungue sanduku la maoni muyaweke huko, tutapita kila ijumaa kuyachukua nyieee utopolo nini hamuelewi??
 
Reactions: BRN
Kwanini hukujiuliza hao CAF walijisukiaje walipoona matukio kama haya?
 

Attachments

  • FB_IMG_1696932948852.jpg
    47 KB · Views: 1
Kipindi wakuu wa mikoa wanatoa ahadi ya hela kwa team itakayoifunga simba mlikuwa wapi kukemea hilo
 
Reactions: BRN
Ihefu nao walihonga?! Mbona hamsemi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…