Simba ikikosa ubingwa wa CAF Shirikisho ni kwa sababu mbili kuu

Simba ikikosa ubingwa wa CAF Shirikisho ni kwa sababu mbili kuu

Ndugu yangu hapa umepiga porojo,ni zaidi ya Lamri chonganishi.
Sasa ulianzisha uzi kwa sababu gani?
 
Mshaanza kutafuta chaka la kujificha mkiukosa ubingwa.

Hapo ushajiweka safe kwa upande wako hapa jf, kwamba mkikosa useme "nilijua tu, si nilisema, makosana ni ....., mi najua mpira, nilishaona hilo, huu ubingwa nilijua tu tutaukosa, tulishakosea nk"

Halafu mkishinda uje na " simba ni kubwa, hakuna wa kutuzuia, kwa nkapa hatoki ntu" 😀😀😀
 
Simba wamekosea kwenye usajili hasa kule mbele ila Rushwa ndio imewafikisha apo walipo fika.
Wale wa South wametolewa kwa kibunda na si mchezo wa mpira wa miguu.
Mechi zote mbili walistahili Matokeo ila ugeni wa mashindano na kutojua fedha za rushwa anapewa nani kume waangusha.
Ni aibu kwa mpira wa kisasa timu kushinda kwa kutumia fedha, mafuta, chumvi na makafara.
 
Sasa boss, kusema baada ya kuukosa ubingwa inakufaidisha nini? Sema tu wasipofanyia kazi ulishafanya sehemu yako. And ukisema baada ya kuukosa ubingwa hakuna namna ya kuthibitisha kuwa ndicho ulichokiona kabla ya mechi, udhaifu wowote unaweza utumia.
Aseme kwa nani Sasa?
 
Ushauri wangu.
Usizitaje hizo sababu hapa.
Fanya juu chini umpate kiongozi wa Simba alie karibu na timu umuambie.
Wasipofanyia kazi wewe utakua huna kosa.
 
Simba wamekosea kwenye usajili hasa kule mbele ila Rushwa ndio imewafikisha apo walipo fika.
Wale wa South wametolewa kwa kibunda na si mchezo wa mpira wa miguu.
Mechi zote mbili walistahili Matokeo ila ugeni wa mashindano na kutojua fedha za rushwa anapewa nani kume waangusha.
Ni aibu kwa mpira wa kisasa timu kushinda kwa kutumia fedha, mafuta, chumvi na makafara.
Vipi na timu hizi nazo zimetolewa kwa rushwa?
Al Masry
Bravos
CS Faxien
CS Constantine
Al Ahly Tripoli
 
Vipi na timu hizi nazo zimetolewa kwa rushwa?
Al Masry
Bravos
CS Faxien
CS Constantine
Al Ahly Tripoli
Mpira ni mchezo wa wazi wote tumeiona Simba jinsi ilivyokua ukipata Matokeo.
Ata kwenye Ligi ya NBC, kazi iliyofanywa na baadhi ya marefa ni kubwa mno na wana stahili pongezi.

Wanastahili Tuzo baada ya msimu kumalizika maana iyo nafasi ya pili mliyonayo wameitolea jasho na fedheha kubwa.
 
Mshaanza kutafuta chaka la kujificha mkiukosa ubingwa.

Hapo ushajiweka safe kwa upande wako hapa jf, kwamba mkikosa useme "nilijua tu, si nilisema, makosana ni ....., mi najua mpira, nilishaona hilo, huu ubingwa nilijua tu tutaukosa, tulishakosea nk"

Halafu mkishinda uje na " simba ni kubwa, hakuna wa kutuzuia, kwa nkapa hatoki ntu" 😀😀😀
Naninajua sababu yake kuu aje aiseme selikari, mwamba anamatatizo binafsi na selikari
 
Sema labda kama Unataka Kupotosha.

Kuchukua Ubingwa Mbele ya Berkane ni ngumu sana, kuliko unavyodhania ni ngumu mno.

Kwa miaka hii mitano 2020-2025.
Imecheza Fainali tatu( 3).
imechukua ndoo mala mbili.

Kama ningeweza kutoa mizania ningeweka.
Simba 40 %
Berkane 60 %
 
Ili uwafunge wale kirahisi ni lazima uwe na Top quality mfano
1. Inonga au Job. 5
2.Bangala kwenye Prime.6
3. Aucho Au debora wa Yanga 8.
4. Mayele au sowa 9.
5.Azizi, chama, fei,pakome 10.

Hapa unachukua ubingwa Asubuhi.

QUALITY.
QUALITY.
QUALITY.
 
1. Mabeki kukaba kwa macho:
Mechi ya Mashujaa na KMC magoli yamedungwa wakati mfungaji yuko peke yake, hadi anachagua sehemu ya kufunga:

2. Washambuliani Butu:
Mechi nyingi za hivi kalibuni Simba inashinda kwa magoli ya Penati.
Yaani Dakika 90, hakuna goli la mipango ya washambuliaji:

3. Mabeki kupenda kurudisha mipira nyuma hasa mdogo wangu Che Mallone:
Nakumbuka ugenini kwa waarabu tulipata goli moja kwa bila ambalo Beki Che, alichukua mpira na kupiga mbele na Ahoa akafunga goli la ushindi:
Kama angerudisha mpira ule nyuma tusinge pata goli pengine hadi mwisho wa muda:

4. Udhaifu wa kipa Kamala kwa mashuti ya mbali:
Kocha alifanyie kazi:

Uchambuzi wa kibwege Sana huu . Simba imefikaje fainali kama ina washambuliaji butu,beki zinakabia macho?
Mkicheza PS Akili zenu zinataka wachezaji wacheze kama PS

Mbereko Fc acha porojo na kutafuta visingizio hapa! Wewe unafahamu fika kwenye hayo mashindano ya Kimataifa waamuzi wote ni aina ya Ahmed Arajiga, ambao kwa hapa kwetu huwa hamumtaki achezeshe mechi zenu, kisa tu mnadekezwa na baba yenu Karia! Na kwa maana hiyo wachezaji wenu wakijiangusha, hakutakuwa na penati za mchongo!

Kule hakuna waamuzi aina ya Tatu Malogo, Kepha Kayombo, Japhet Smart, au Shomary Lawi! Kwa mtatakiwa kupambana. Kinyume na hapo, mtaliaibisha Taifa. Kaka yenu Yanga alikosa hilo kombe kwa sababu tu ya kanuni. Ila ukija kwenye uhalisia, utakuta alilingana matokeo ya aggregate ya 2 - 2 na timu iliyo chukua ubingwa. Na hapa maana yake alipambana.

Tatizo la kwanza ni kumchezesha CHE MALONE, wakikwepa huu mtego basi nafasi ya kutwaa ubingwa ni mkubwa.

Simba wamekosea kwenye usajili hasa kule mbele ila Rushwa ndio imewafikisha apo walipo fika.
Wale wa South wametolewa kwa kibunda na si mchezo wa mpira wa miguu.
Mechi zote mbili walistahili Matokeo ila ugeni wa mashindano na kutojua fedha za rushwa anapewa nani kume waangusha.
Ni aibu kwa mpira wa kisasa timu kushinda kwa kutumia fedha, mafuta, chumvi na makafara.
Nilisema wazi sababu ninazotaja mimi ni za nje ya uwanja. Kwa viwango vya wachezaji na timu, Simba na Berkane hawapishani sana.
 
Back
Top Bottom