Mikia Saiz Ndo wanaanza kuelewa mwanzoni walikuwa wabishi
Walikuwa hawajui maana ya Underdog saivi Shafih Dauda wanamuelewa vizuri kabisa
Kama kitu hukijui ni bora kukaa kimya ili watu wasikuone mjinga, Yanga ndiyo timu ya kwanza Tanzania kushiriki Caf champions legue 1998This is Simba. Sio Ile ombaomba yenu. Haijawahi na haitowahi ktk Africa champion league group stage kulinda heshima ya kwake
Sent using Jamii Forums mobile app
Kituon kinachofata ni jangwaniKama kitu hukijui ni bora kukaa kimya ili watu wasikuone mjinga, Yanga ndiyo timu ya kwanza Tanzania kushiriki Caf champions legue 1998
Kama kitu hukijui ni bora kukaa kimya ili watu wasikuone mjinga, Yanga ndiyo timu ya kwanza Tanzania kushiriki Caf champions legue 1998
Kaka! Unajisikiaje baada ya tetemeko la Jumanne... UZALENDO MTAUONA Jumamosi..... 4 zilizobakia tumeagizwa na Al ahly wa tuwape nyinyi....Simba SC haina ubavu tena wa kupata point hata moja, hivyo basi itakuwa ya mwisho kwenye kundi lake na point 3 ilizozipata kwa Saoura!
Baada ya mechi zote , msimamo utakuwa kama ifuatavyo:
1 Al alhly (Egy)
2 Vita (DRC)
3 Saoura (Alg)
4 Simba (Tz)
Mpira ni mipango sio kelele, hapo mlipoishia panawatosha . Waachen wenye nguvu wapite!
Povu ni ruksa kwa wasiopenda ukweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kufananisha city na chelsea na vitu vya kijingaKuelewa nn na ww Juha? Football ndivyo ilivyo angalia Manchester City na Chelsea
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu ikawaje? Na nani kashiriki mara nyingi?Kama kitu hukijui ni bora kukaa kimya ili watu wasikuone mjinga, Yanga ndiyo timu ya kwanza Tanzania kushiriki Caf champions legue 1998
Mwaka 1974 simba alicheza na vita CAF champions leagueKama kitu hukijui ni bora kukaa kimya ili watu wasikuone mjinga, Yanga ndiyo timu ya kwanza Tanzania kushiriki Caf champions legue 1998
Kama kitu hukijui ni bora kukaa kimya ili watu wasikuone mjinga, Yanga ndiyo timu ya kwanza Tanzania kushiriki Caf champions legue 1998
Kweli .. game ya Saoura italeta picha mpya ya group hili.. hata mechi ya VITA vs AL AHLY.Huu Uzi hautakiwi kuwa mbali baada ya mechi na Saoura utahitajika sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Group hili ndilo Group gumu sana ktk mashindano ya mwaka huu ya Caf Champion leagueKweli .. game ya Saoura italeta picha mpya ya group hili.. hata mechi ya VITA vs AL AHLY.
Hii ni lazima ibadilike ndio maana ya group stage, Yanga wanaweza wasielewe
Simba inabidi iombee Vital amfunge Al Ahyl au atoe sare dhidi ya Al Ahyl, maana nahisi endapo Al Ahyl atamfunga Vital atakuwa na point 10 na Js Saoura akishinda dhidi ya simba watafikisha point 8. Mechi ya mwisho waarabu wanakutana wenyewe kwa wenyewe ni rahisi sana kutengeneza fitna kwasababu Al Ahyl itakuwa ameshapita tayari, na JS Saoura watakuwa wanatafuta sare tu ili afikishe point 9. Simba hata akimfunga Vital watakuwa na 9 ila kwenye magoli ndiyo yatakayoamua na ikumbukwe Simba karuhusu magoli mengi. Na Vital nae akimfunga Simba atakuwa na point 7 tu hivyo hatokuwa na safari tena.Kweli .. game ya Saoura italeta picha mpya ya group hili.. hata mechi ya VITA vs AL AHLY.
Hii ni lazima ibadilike ndio maana ya group stage, Yanga wanaweza wasielewe