Simba itaishia alama 3 tu ligi ya mabingwa Afrika

Simba itaishia alama 3 tu ligi ya mabingwa Afrika

Simba SC haina ubavu tena wa kupata point hata moja, hivyo basi itakuwa ya mwisho kwenye kundi lake na point 3 ilizozipata kwa Saoura!
Baada ya mechi zote , msimamo utakuwa kama ifuatavyo:
1 Al alhly (Egy)
2 Vita (DRC)
3 Saoura (Alg)
4 Simba (Tz)

Mpira ni mipango sio kelele, hapo mlipoishia panawatosha . Waachen wenye nguvu wapite!

Povu ni ruksa kwa wasiopenda ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka! Unajisikiaje baada ya tetemeko la Jumanne... UZALENDO MTAUONA Jumamosi..... 4 zilizobakia tumeagizwa na Al ahly wa tuwape nyinyi....
 
Kama kitu hukijui ni bora kukaa kimya ili watu wasikuone mjinga, Yanga ndiyo timu ya kwanza Tanzania kushiriki Caf champions legue 1998
Halafu ikawaje? Na nani kashiriki mara nyingi?
 
Kweli .. game ya Saoura italeta picha mpya ya group hili.. hata mechi ya VITA vs AL AHLY.
Hii ni lazima ibadilike ndio maana ya group stage, Yanga wanaweza wasielewe
Simba inabidi iombee Vital amfunge Al Ahyl au atoe sare dhidi ya Al Ahyl, maana nahisi endapo Al Ahyl atamfunga Vital atakuwa na point 10 na Js Saoura akishinda dhidi ya simba watafikisha point 8. Mechi ya mwisho waarabu wanakutana wenyewe kwa wenyewe ni rahisi sana kutengeneza fitna kwasababu Al Ahyl itakuwa ameshapita tayari, na JS Saoura watakuwa wanatafuta sare tu ili afikishe point 9. Simba hata akimfunga Vital watakuwa na 9 ila kwenye magoli ndiyo yatakayoamua na ikumbukwe Simba karuhusu magoli mengi. Na Vital nae akimfunga Simba atakuwa na point 7 tu hivyo hatokuwa na safari tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
poleni mavyura. Wenzenu tunachanja mbuga hadi sasa. Na hata huo ubingwa wa ligi kuu mtausikia tu, tunauchukua wenyewe. Na kwa nini mpate shida
 
Back
Top Bottom