Simba itapeleka timu Uwanjani tayari kwa mechi na Yanga

Kumbe wajinga wajinga mko wengi eeh,dah Tawala kweli kinatawala Hadi akili za watanzania
Wajinga aina yako ndio mtaji mkubwa wa chama tawala nchini. Bila CCM kua na wajinga wengi wa aina yako basi ingekua imeshakufa zamani. Hivyo ccm inawahitaji sana wajinga wengi aina yako ili uendelee ku-survive madarakani.
 
Achana nae huyo mnafiki yupo kila uzi wa kwenye jukwaa la mechezo sasa sijui anafuata nini. Hana tofauti anaye ichukia nyama ya nguruwe ila mchuzi anautamani.
Wajinga aina yako ndio mtaji mkubwa wa chama tawala nchini. Bila CCM kua na wajinga wengi wa aina yako basi ingekua imeshakufa zamani. Hivyo ccm inawahitaji sana wajinga wengi aina yako ili uendelee ku-survive madarakani.

Embu fikiria, mzungu anatoka huko kwao anakuja Tanzania anawaita watu wote wabaouhusika na yanga kwamba ni nyani na mbwa..umewahi kufikiria kwanini!? Kwamba amewatukana watanzania, mwingine wa hapa hapa kwetu anadiriki kusema wenye akili timu nzima ya yanga ni wawili tu, hayo si matusi? Mwingine anawaita wengine mambumbumbu,,mwingine mzungu anakuja anasema hajawahi kuona ligi ya namna hii kua timu pinzani inafungwa na wanashangilia kwa kufungwa..je hamjioni kua nyinyi ni mtaji mkubwa wa ccm kwa ujinga wenu..
 
Wajinga aina yako ndio mtaji mkubwa wa chama tawala nchini. Bila CCM kua na wajinga wengi wa aina yako basi ingekua imeshakufa zamani. Hivyo ccm inawahitaji sana wajinga wengi aina yako ili uendelee ku-survive madarakani.
Sasa unafanya ni humu kama sio unafiki kama mtoto wa kike sitaki nataka nyingi, upo kwenye thread zaidi ya kumi za michezo unafuata nini wakati majukwaa ya siasa yapo. Unakuwa kama wanafiki wanaochukia nyama ya nguruwe huku mchuzi wake ukiutamani.

Kuna majukwa kibao wewe mwenye ,shobo zako zimekufanya uchague jukwaa hili la michezo kila uzi upo si uende majukwaa ya siasa,na sio hizi sitaki na taka kama binti huku ukiwa na unafiki mwingi.
 
Wajinga aina yako ndio mtaji mkubwa wa chama tawala nchini. Bila CCM kua na wajinga wengi wa aina yako basi ingekua imeshakufa zamani. Hivyo ccm inawahitaji sana wajinga wengi aina yako ili uendelee ku-survive madarakani.
Mashabiki wa Simba ni mbumbumbu by Rage, kweli ni mbumbumbu
 
Nadhani ndo tumekumbushwa kwamba mazoea sio utaratibu.
 
Wasipeleke timu Yanga wabebe point za mezan🀣🀣
 
Simba hatuna utoto wa hivi,,,timu haitakwenda uwanjani na siyo Kwa mchezo wa leo tu Bali kwa michezo yote ya ligi iliyobaki endapo kama maamuzi stahiki hayatachukuliwa mapema dhidi ya vitendo hivi visivyo vya kuungwana
 
Alizuiwa kuomba ruksa ya kuutumia uwanja
 
Alizuiwa kuomba ruksa ya kuutumia uwanja
Waliomba na hawakupewa.

Sasa hao jamaa walienda kwenye uwanja bila meneja kupewa taarifa ruksa walipewa na nani?kufanya mazoezi...... si wangekaa kambini kwao kama ilivyokuwa kwa Yanga round ya kwanza.
 
Kama ni utayari wa mechi, nadhani Simba ilijipanga ikawa tayari zaidi kuliko Yanga. Hii ya Yanga kuzuia wapinzani wasifanye mazoezi ni ishara ya kutojiamini kutokuwa tayari kwa mechi
Waingize timu, maneno yasiwe mengi
 
Simba ni mabogas Yanga Jesh kubwa
 
Wasipokuja pointi 3 na goli 3.

Ila tunapenda waje wale KONO LA NYANI ,ushindi wa mezani hatuutaki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…