Polisi hawakuwepo wahuni wanaweza izidi polisi?!Kamishna ambaye ndio anatakiwa ampe taarifa meneja, alifika hadi eneo la tukio na akampa taarifa meneja. Meneja akatoa ruhusa, wahuni wakazuia. Tafuta habari, acha kubweteka
Alienda uwanjani akazuiliwa?Ina maana kanuni zipo kuanzia jana,ila round ya kwanza kanuni hazikuwepo? Maana Yanga hakupewa hiyo nafasi na kucheza alicheza au kanuni zinachagua round 2 na kubagua round ya kwanza?
Hatukuchukua hatua sababu tunaujua mpira hata kwenye CAF confederation na Championship timu kibao zinazuiwa kufanya mazoezi ila still bado kinapigwa au sometimes zinaamua kutokufanya mazoezi kabla ya mechi na still zinacheza.Kuna hatua zozote alichukua baada ya kutopewa? Au zile za wabongo alimwachia mungu!!
Sasa unamwambia nani?. maana haya mazoea waliyo yajenga ni wao wenyewe watani.Ndio maana hata huyo meneja wa uwanja alijua ndio utaratibu wenu kwenye mechi zenu,kama kulikuwa na mabadiliko mngemwambia meneja.Mazoea sio utaratibu ukilijua hilo kauli hii haina maana.
Utaendaje uwanjani bila kutoa taarifa kwa wenye uwanja? Ukiombwa na ukakataliwa kuna haja gani ya kwenda uwanjani,ndio maana nyie meneja kawakatalia.Alienda uwanjani akazuiliwa?
Wewe kutochukua hatua ulikuwa ni utashi wako, na wao kuchukua hatua ni utashi wao as long as kuna kanuni kuhusu hilo.Hatukuchukua hatua sababu tunaujua mpira hata kwenye CAF confederation na Championship timu kibao zinazuiwa kufanya mazoezi ila still bado kinapigwa au sometimes zinaamua kutokufanya mazoezi kabla ya mechi na still zinacheza.
Hizo kanuni wamezijua jana? Kwani huo utaratibu waliuweka nani si wao na ndio maana hata meneja hakuwa na taarifa, sababu anajua ndio taratibu zao miaka yote.Wewe kutochukua hatua ulikuwa ni utashi wako, na wao kuchukua hatua ni utashi wao as long as kuna kanuni kuhusu hilo.
Nadhani hiyo sio hoja ya msingi mkuu. Muhimu kanuni ipo na wao wameamua kuitumia. So let's wait wasimamizi wa kanuni wana kipi cha kusema.Hizo kanuni wamezijua jana?
Hiyo ni hoja tena ya msingi,Hizo kanuni wamezijua jana? Kwani huo utaratibu waliuweka nani si wao na ndio maana hata meneja hakuwa na taarifa, sababu anajua ndio taratibu zao miaka yote.Nadhani hiyo sio hoja ya msingi mkuu. Muhimu kanuni ipo na wao wameamua kuitumia. So let's wait wasimamizi wa kanuni wana kipi cha kusema.
Kama ni utayari wa mechi, nadhani Simba ilijipanga ikawa tayari zaidi kuliko Yanga. Hii ya Yanga kuzuia wapinzani wasifanye mazoezi ni ishara ya kutojiamini kutokuwa tayari kwa mechi
Kanuni inaelekeza nini mkuu?Hiyo ni hoja tena ya msingi,Hizo kanuni wamezijua jana? Kwani huo utaratibu waliuweka nani si wao na ndio maana hata meneja hakuwa na taarifa, sababu anajua ndio taratibu zao miaka yote.
Hata hiyo CAF huko Uarabuni mara kibao timu ngeni zinazuiwa kufanya mazoezi ila mechi inapigwa kama kawa na zipo timu nyingine hazifanyi hata mazoezi siku moja kabla ya mechi ila still mechi inapigwa.
Kwani hiyo kanuni iliwekwa jana? Mbona kipindi cha nyuma ilikuwa haifuwatwi?Kanuni inaelekeza nini mkuu?
Labda hajawai kukumbana na hali hiyo hapo kabla!
Kama kanuni zinamruhusu kufanya mazoezi siku moja kabla ya mechi muda sawa na wa mechi yeye akaamua kutofanya hayo mazoezi unadhani TFF watamlazimisha akafanye mazoezi?Ina maana kanuni zipo kuanzia jana,ila round ya kwanza kanuni hazikuwepo? Maana Yanga hakupewa hiyo nafasi na kucheza alicheza au kanuni zinachagua round 2 na kubagua round ya kwanza?
TFF mnamlaumu kwa ujinga na mazoea mliyo yaweka na sasa yamekuwa sheria. Miaka yote Derby ya Kko Mgeni huingia uwanjani siku ya mechi akitokea kambini, huku uwanja anapewa mwenyeji.Kama kanuni zinamruhusu kufanya mazoezi siku moja kabla ya mechi muda sawa na wa mechi yeye akaamua kutofanya hayo mazoezi unadhani TFF watamlazimisha akafanye mazoezi?
Kisheria game hakuna sababu gani ?Nawaonea huruma wanaotoka mikoani,muda na hela walizotumia kuja angalia game na bado mechi ipo/haipo.
Hapa kuna kuharibiana mapato vs mind games vs visasi vs sheria.
Haya waliofanyiwa simba ndio waliokua wakifanyiwa na muarabu wakienda cheza huko na hata caf hajawahi fanya lolote.
Tukitumia umbumbumbu wa neno ustaarabu watu wataenda lkn wakienda kisheria game hakuna
Kisheria game inatakiwa kuwepo ila ninachoona simba watasema hawajafanya mazoezi Kwa kuzuiwa kuingia means fitness hawapo tayari hapa ndio sheria inapobana:Kisheria game hakuna sababu gani ?
Wakikujibu kwa kutumia sheria nitag kiongozKisheria game hakuna sababu gani ?
Shida ni kutoa matamko wakiwa na hasira ya jambo lao kukwama.Magori kasema sio mechi tu Hadi ligi hawachezi mpk takataka ziadhibiwe