Simba itapeleka timu Uwanjani tayari kwa mechi na Yanga

Kisheria game inatakiwa kuwepo ila ninachoona simba watasema hawajafanya mazoezi Kwa kuzuiwa kuingia means fitness hawapo tayari hapa ndio sheria inapobana:
Sheria inasema lazima upeleke timu uwanjani unless otherwise means kuna exception km vile ajali
Siku zote wamepiga tizi wanapopajua leo ndio waje kama mizimu na hii sababu, jaman match ichezwe kama Yanga tunafungwa tufungwe kiuhalali, sasa wanaogopa nini ?
 
Mi naamin mechi itachezwa kama ilivopangwa na mnyama atashinda. Tukumbuke hata mech ya mwaka jana ya pamba na simba, kulitokea fujo kama hizo za jana na bado simba waliingia uwanjan wakacheza na kuondoka na point 3.
 
Sasa unafanya ni humu kama sio unafiki kama mtoto wa kike sitaki nataka nyingi, upo kwenye thread zaidi ya kumi za michezo unafuata nini wakati majukwaa ya siasa yapo. Unakuwa kama wanafiki wanaochukia nyama ya nguruwe huku mchuzi wake ukiutamani.

Kuna majukwa kibao wewe mwenye ,shobo zako zimekufanya uchague jukwaa hili la michezo kila uzi upo si uende majukwaa ya siasa,na sio hizi sitaki na taka kama binti huku ukiwa na unafiki mwingi.
Wajinga aina yako ndio mtaji mkubwa wa chama tawala nchini. Bila CCM kua na wajinga wengi wa aina yako basi ingekua imeshakufa zamani. Hivyo ccm inawahitaji sana wajinga wengi aina yako ili uendelee ku-survive madarakani.
 
Mashabiki wa Simba ni mbumbumbu by Rage, kweli ni mbumbumbu

Sasa unamwambia nani?. maana haya mazoea waliyo yajenga ni wao wenyewe watani.Ndio maana hata huyo meneja wa uwanja alijua ndio utaratibu wenu kwenye mechi zenu,kama kulikuwa na mabadiliko mngemwambia meneja.
Umekumbushwa sasa
 
Umekumbushwa sasa
JamiiForums-777753140.jpg

Sasa mmemkubusha nani? Kwa hiyo hizo kanuni mmeanaza kuzijua jana.
 
Back
Top Bottom