Usibishe usichokijua Mzee. Yanga ana points 20 alizozichukua msimu huu pekee. Miaka minne nyuma yote ni 0.Hili neno "ndani ya msimu mmoja" linafanya uonekane mpumbavu, Yanga haijafika hapo kwa msimu mmoja.
Hao Kaizer chiefs tuliwapiga 3 bila hapo kwa Mkapa!! na kocha tukamfukuzisha!!Hamna uwezo wa kucheza na timu za South [emoji28]
Robo fainali ni kombe gani?Timu ya kufika robo kwa hapa Tanzania inajulikana,atujui hao wengine sijui hao wengine.
Walikua hashafuzu hawana preshaHao Kaizer chiefs tuliwapiga 3 bila hapo kwa Mkapa!! na kocha tukamfukuzisha!!
Hauko serious hata kidogo.Hafu utashangaa wanatolewa na hao wajibuti. Timu imefika fainali msimu uliopita ila malengo yake msimu huu ni kufika hatua ya makundi
Kwa nini?Hauko serious hata kidogo.
Ni kwa sababu kikosi cha Yanga siyo cha kutolewa katika hatua hiyo. Hata timu itakayokutana nayo kwenye raundi ya pili, bado ina wakati mgumu mbele ya Wananchi.Kwa nini?
Kwani katika hao nani ambaye hajawahi kuonekana akicheza?Kuiona quality ya mchezaji ni mpaka umuone anacheza sio kutumia hisia
Nyie mikia aka Mbumbumbu fc msimu huu hamna timu, makundi Klabu bingwa mtayasikia kwenye redio, mi nimekaa pale kwa Mpalanger!Yaani mtu anasema ni Bingwa wa Ligi lakini bado anaanzia hatua za chini kabisa 😁
Utofauti wa Timu kubwa na Ndogo ndiyo huu.
Tukutane kimataifa 💪
Nguvu moja 💪💪
Kuna wale kama cherehani, kelele nyingi ila hawakatizi robo fainali.Hafu utashangaa wanatolewa na hao wajibuti. Timu imefika fainali msimu uliopita ila malengo yake msimu huu ni kufika hatua ya makundi
Kama shirikisho ni rahisi basi mngefika fainali. Ila pamoja na kuwasha moto uwanjani mliishia robo.Kumbe mnaelewa huku ni kugumu zaidi, sasa zile kejeli za kuishia robo huwa zinatoka wapi?
Kwani katika hao nani ambaye hajawahi kuonekana akicheza?
Mchezaji mpaka anakuwa MVP bado tu haitoshi, unataka achezaje?
Nani mwenye wasiwasi na Quality ya Chama? Naye ni wakusema mpaka acheze?
Je hujawahi kumuona akicheza? chama msimu uliopita alikuwepo na bahati mbaya alishindwa kuipa timu yake taji lolote lile
Quality ya hao wakina chama ni ndogo,kwa maana malengo ya club yalishindwa kutimia ambayo ni kuchukua vikombe vyote vya ndani na kufika semi final kwenye champion league kwahiyo simba ilifeli kwasababu ya ubovu wa hao unaowasifiaKwani katika hao nani ambaye hajawahi kuonekana akicheza?
Mchezaji mpaka anakuwa MVP bado tu haitoshi, unataka achezaje?
Nani mwenye wasiwasi na Quality ya Chama? Naye ni wakusema mpaka acheze?
Je hujawahi kumuona akicheza?
Kwa hiyo Yanga ingekuwa inashiriki shirikisho tena safari hii malengo yangekuwa kufika hatua ya makundi?Kama shirikisho ni rahisi basi mngefika fainali. Ila pamoja na kuwasha moto uwanjani mliishia robo.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Malengo yalishindwa kutimia kutokana na mchango mdogo wa wachezaji ambao tumewasitishia mikataba yao.Quality ya hao wakina chama ni ndogo,kwa maana malengo ya club yalishindwa kutimia ambayo ni kuchukua vikombe vyote vya ndani na kufika semi final kwenye champion league kwahiyo simba ilifeli kwasababu ya ubovu wa hao unaowasifia
Hongereni kwa kuota,Nyie mikia aka Mbumbumbu fc msimu huu hamna timu, makundi Klabu bingwa mtayasikia kwenye redio, mi nimekaa pale kwa Mpalanger!
Yanga tushazoea kucheza fainali kubwa Afrika tunapiga Djibouti hao ndani nje na kutinga makundi! Makundi tunaua wote ndani nje haoooo robo fainali , Kisha nusu fainali, mara paap tuko fainali na kombe tunabeba, kwasasa ngumi jiwe hakuna wa kutuzuia Afrika!
Sasa we utaishiaje robo kila msimu no progress?Kumbe mnaelewa huku ni kugumu zaidi, sasa zile kejeli za kuishia robo huwa zinatoka wapi?