Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
Wapi raja ?Timu kumi [10] zitakazoanzia 2nd Round yani hatua ya mwisho kwenda Makundi CAFCL 2023/24.
1. Al Ahly SC πͺπ¬
2. Wydad AC π²π¦
3. Esperance πΉπ³
4. Mamelodi Sundowns πΏπ¦
5. Simba SCπΉπΏ
6. Petro π¦π΄
7. Tp Mazembeπ¨π©
8. Enyimba π³π¬
9. CR Belouizdad π©πΏ
10. Pyramid FC πͺπ¬
Nadhani historical records zimewabeba...Enyimba ni timu ya 33 kwenye rank ya CAF je kigezo kipi kilichoifanya ianzie hatua ya pili?
Haitashiriki michuano ya kimataifa kwani wamekuwa wa 5 ktk msimamo wa ligi yaoWapi raja ?
Hiyo ni favor waliyopewa timu xote 8 zinazoshiriki super league kuanzia second roundEnyimba ni timu ya 33 kwenye rank ya CAF je kigezo kipi kilichoifanya ianzie hatua ya pili?
WapiTutawa miss SIMBA SC
LooserHamna cha kaizer Chief...monastir, ..USM ULGERS...
Mh kwani Enyimba naye anashiriki super league? Kachukua nafasi ya timu ipi maana timu zilikuwa ni Horoya, Tp Mazembe, Petro Luanda, Mamelod, Es Tunis, Wydad, Simba na Al Ahly. Sasa Enyimba imechukua nafasi ya timu ipi hapo?Hiyo ni favor waliyopewa timu xote 8 zinazoshiriki super league kuanzia second round
Sina shaka hizo ni hujuma za TFF na Karia wake, ili kuikomoa timu pendwa ya mama Sir100!Enyimba ni timu ya 33 kwenye rank ya CAF je kigezo kipi kilichoifanya ianzie hatua ya pili?
Enyimba ni timu ya 33 kwenye rank ya CAF je kigezo kipi kilichoifanya ianzie hatua ya pili?
Mh kwani Enyimba naye anashiriki super league? Kachukua nafasi ya timu ipi maana timu zilikuwa ni Horoya, Tp Mazembe, Petro Luanda, Mamelod, Es Tunis, Wydad, Simba na Al Ahly. Sasa Enyimba imechukua nafasi ya timu ipi hapo?