Simba Kuanzia Round ya pili Ligi ya Mabingwa Africa

Simba Kuanzia Round ya pili Ligi ya Mabingwa Africa

Nenda ka google maana ya Brand ni nini ?

Enyimba imechelewa sana kuanzishwa kuliko timu zote hizo ila bado imezizidi mafanikio

Nimekuuliza Mamelodi, Simba, Horoya wanamzidi nini enyimba kwa mafanikio barani Africa umeshindwa kujibu.

Timu hata kujenga viwanja vyake zimeshindwa uzifaninishe na Enyimba kwa brand kubwa Timu ambayo imetwaa ubingwa wa Africa zaidi ya mara moja.. na nusu fainali za kutosha na inacheza mechi zake kwenye uwanja wake unaomilikiwa na club yenyewe
Mara ya mwisho Enyimba amefika nusu fainali ni lini? hio brand ya history labda
 
Mara ya mwisho Enyimba amefika nusu fainali ni lini? hio brand ya history labda

2018 amefika semi final ya mwisho na katika kujitafuta kafika robo 2020

Na wewe Jibu swali langu. Mamelodi, simba na horoya wanamzidi nini enyimba ?

Tuseme wao ni brand kubwa kuliko Enyimba
 
Itoe horoya hapo haishiriki super league na Enyimba alichukua nafasi ya Al hilal ya sudani cause ya mchafuko.
Acha uongo mkuu? Enyimba wamechukua nafasi ya Horoya kama timu mwakili kwenye African football league toka ukanda wa magharibi na sio nafasi ya Al Hilal kama ulivyoeleza
 
Timu kumi [10] zitakazoanzia 2nd Round yani hatua ya mwisho kwenda Makundi CAFCL 2023/24.

1. Al Ahly SC 🇪🇬
2. Wydad AC 🇲🇦
3. Esperance 🇹🇳
4. Mamelodi Sundowns 🇿🇦
5. Simba SC🇹🇿
6. Petro 🇦🇴
7. Tp Mazembe🇨🇩
8. Enyimba 🇳🇬
9. CR Belouizdad 🇩🇿
10. Pyramid FC 🇪🇬
Bila kuwepo yanga hii list ni batili. Haiwezekani robo robo fc waanzie raundi ya pili, wakati sisi finalist tuanzie mchangani.
 
Kumbe unazumzia history sio current from

Current form ya napoli kuwa nzuri kuliko juventus. Haimaanishi brand ya Napoli ni kubwa kuliko Juventus.

Caf super league ni mashindano yanapaswa yawe na mvuto kibiashara.

Hivyo wametazama swala la brand kubwa. Hata Tp mazembe hayupo kwenye form kama zamani ila super league yupo anashiriki.

Jifunze kuelewa maana ya brand kubwa

Brand inajiuza yenyewe.

Kwenye mpira wa africa enyimba ni brand kubwa kuliko hao kina Mamelodi na horoya.

Hupaswi kushangaa enyimba kushiriki
 
Enyimba anashiriki,timu 8 ya super league
Pot 1
Al Ahly,Wydad,Esperance na Mamelody

Pot 2
TP Mazembe,Simba,Petro Luanda na Enyimba

Mwisho wa siku hawa ndo wanagombania kombe wengine wasindikizaji tu

Al ahly , waydad, esperance na mamelod sundowns
 
Kuanzia namba 5 Hadi 10 ni Timu za kisenge tuu Wala hazina maajabu yeyote eg Petro atletico,Enyiemba,Simba nk

Unaacha Timu kama Horoya,Zamalek nk
hiv unaijua zamaleki ya sas horoya mwisho wake huwa makundi
 
Back
Top Bottom