Simba Kuanzia Round ya pili Ligi ya Mabingwa Africa

Simba Kuanzia Round ya pili Ligi ya Mabingwa Africa

Enyimba super league lazima ashiriki.

CAF wanapenda timu kubwa ama brand kubwa.

Enyimba ni brand kubwa kwa mpira wa Africa.

Mamelodi na ujanja wake wote hamfikii enyimba kwa mafanikio Africa.

Super league bila Enyimba haiwezekani maana ni timu kubwa sana ki Brand
Enyimba hayupo super league
 
Bila kuwepo yanga hii list ni batili. Haiwezekani robo robo fc waanzie raundi ya pili, wakati sisi finalist tuanzie mchangani.
[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Attachments

  • Screenshot_20230726-132259_Firefox.jpg
    Screenshot_20230726-132259_Firefox.jpg
    153 KB · Views: 3
Timu zote zinazocheza super league zinaanzia hatua ya pili, kwanini Enyimba anaanzia hatua ya awali? Haujiulizi hilo?
 
Back
Top Bottom