Simba Kuanzia Round ya pili Ligi ya Mabingwa Africa

Simba Kuanzia Round ya pili Ligi ya Mabingwa Africa

Mh kwani Enyimba naye anashiriki super league? Kachukua nafasi ya timu ipi maana timu zilikuwa ni Horoya, Tp Mazembe, Petro Luanda, Mamelod, Es Tunis, Wydad, Simba na Al Ahly. Sasa Enyimba imechukua nafasi ya timu ipi hapo?
Itoe horoya hapo haishiriki super league na Enyimba alichukua nafasi ya Al hilal ya sudani cause ya mchafuko.
 
Yule finalist..hadi serikali ikatoa ndege..mbona simuoni ..!!!
Bado media zinasifia Sifia tu ...
Kwa hiyo ulikua unaona wivu finalist kusifiwa? Wewe umesifiwa misimu ile unatawala tu, ukaja kusifiwa kwenye zile robo fainali 3 za mchongo na ushirikina juu ila ulisifiwa. Mwenzio kusifiwa mara moja tu unaona nongwa? Wabongo mna roho nyeusi
 
Mh kwani Enyimba naye anashiriki super league? Kachukua nafasi ya timu ipi maana timu zilikuwa ni Horoya, Tp Mazembe, Petro Luanda, Mamelod, Es Tunis, Wydad, Simba na Al Ahly. Sasa Enyimba imechukua nafasi ya timu ipi hapo?
Enyimba anashiriki,timu 8 ya super league
Pot 1
Al Ahly,Wydad,Esperance na Mamelody

Pot 2
TP Mazembe,Simba,Petro Luanda na Enyimba
 
Mh kwani Enyimba naye anashiriki super league? Kachukua nafasi ya timu ipi maana timu zilikuwa ni Horoya, Tp Mazembe, Petro Luanda, Mamelod, Es Tunis, Wydad, Simba na Al Ahly. Sasa Enyimba imechukua nafasi ya timu ipi hapo?

Enyimba super league lazima ashiriki.

CAF wanapenda timu kubwa ama brand kubwa.

Enyimba ni brand kubwa kwa mpira wa Africa.

Mamelodi na ujanja wake wote hamfikii enyimba kwa mafanikio Africa.

Super league bila Enyimba haiwezekani maana ni timu kubwa sana ki Brand
 
Enyimba ni timu kongwe ila sio kubwa
 
Timu kumi [10] zitakazoanzia 2nd Round yani hatua ya mwisho kwenda Makundi CAFCL 2023/24.

1. Al Ahly SC 🇪🇬
2. Wydad AC 🇲🇦
3. Esperance 🇹🇳
4. Mamelodi Sundowns 🇿🇦
5. Simba SC🇹🇿
6. Petro 🇦🇴
7. Tp Mazembe🇨🇩
8. Enyimba 🇳🇬
9. CR Belouizdad 🇩🇿
10. Pyramid FC 🇪🇬
Kuanzia namba 5 Hadi 10 ni Timu za kisenge tuu Wala hazina maajabu yeyote eg Petro atletico,Enyiemba,Simba nk

Unaacha Timu kama Horoya,Zamalek nk
 
Brand ki vipi fan base? mafanikio au kitu gani

Nenda ka google maana ya Brand ni nini ?

Enyimba imechelewa sana kuanzishwa kuliko timu zote hizo ila bado imezizidi mafanikio

Nimekuuliza Mamelodi, Simba, Horoya wanamzidi nini enyimba kwa mafanikio barani Africa umeshindwa kujibu.

Timu hata kujenga viwanja vyake zimeshindwa uzifaninishe na Enyimba kwa brand kubwa Timu ambayo imetwaa ubingwa wa Africa zaidi ya mara moja.. na nusu fainali za kutosha na inacheza mechi zake kwenye uwanja wake unaomilikiwa na club yenyewe
 
Back
Top Bottom