Raja ataanza na YangaWapi raja ?
Itoe horoya hapo haishiriki super league na Enyimba alichukua nafasi ya Al hilal ya sudani cause ya mchafuko.Mh kwani Enyimba naye anashiriki super league? Kachukua nafasi ya timu ipi maana timu zilikuwa ni Horoya, Tp Mazembe, Petro Luanda, Mamelod, Es Tunis, Wydad, Simba na Al Ahly. Sasa Enyimba imechukua nafasi ya timu ipi hapo?
Hajafuzu michuano yoyote mwaka huu ya CafWapi raja ?
Kwa hiyo ulikua unaona wivu finalist kusifiwa? Wewe umesifiwa misimu ile unatawala tu, ukaja kusifiwa kwenye zile robo fainali 3 za mchongo na ushirikina juu ila ulisifiwa. Mwenzio kusifiwa mara moja tu unaona nongwa? Wabongo mna roho nyeusiYule finalist..hadi serikali ikatoa ndege..mbona simuoni ..!!!
Bado media zinasifia Sifia tu ...
Enyimba anashiriki,timu 8 ya super leagueMh kwani Enyimba naye anashiriki super league? Kachukua nafasi ya timu ipi maana timu zilikuwa ni Horoya, Tp Mazembe, Petro Luanda, Mamelod, Es Tunis, Wydad, Simba na Al Ahly. Sasa Enyimba imechukua nafasi ya timu ipi hapo?
Mh kwani Enyimba naye anashiriki super league? Kachukua nafasi ya timu ipi maana timu zilikuwa ni Horoya, Tp Mazembe, Petro Luanda, Mamelod, Es Tunis, Wydad, Simba na Al Ahly. Sasa Enyimba imechukua nafasi ya timu ipi hapo?
Enyimba ni timu kongwe ila sio kubwaEnyimba super league lazima ashiriki.
CAF wanapenda timu kubwa ama brand kubwa.
Enyimba ni brand kubwa kwa mpira wa Africa.
Mamelodi na ujanja wake wote hamfikii enyimba kwa mafanikio Africa.
Super league bila Enyimba haiwezekani maana ni timu kubwa sana ki Brand
Kuanzia namba 5 Hadi 10 ni Timu za kisenge tuu Wala hazina maajabu yeyote eg Petro atletico,Enyiemba,Simba nkTimu kumi [10] zitakazoanzia 2nd Round yani hatua ya mwisho kwenda Makundi CAFCL 2023/24.
1. Al Ahly SC πͺπ¬
2. Wydad AC π²π¦
3. Esperance πΉπ³
4. Mamelodi Sundowns πΏπ¦
5. Simba SCπΉπΏ
6. Petro π¦π΄
7. Tp Mazembeπ¨π©
8. Enyimba π³π¬
9. CR Belouizdad π©πΏ
10. Pyramid FC πͺπ¬
Kuna matimu mengi tuu ya kisenge kuanzia namba 5 Hadi 10 ni matakataka hakuna Timu hapoNilitegemea hili kotokea.ila Enyimba ameingiaje hapo?
Enyimba ni timu kongwe ila sio kubwa
Brand ki vipi fan base? mafanikio au kitu ganiUnaelewa maana ya brand kubwa..
Na kwa nini useme enyimba sio timu kubwa ?
Timu kama Horoya, simba, mamelodi, wanamzidi nini Enyimba ?
Brand ki vipi fan base? mafanikio au kitu gani
pot 1 mbona kimbembe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Enyimba anashiriki,timu 8 ya super league
Pot 1
Al Ahly,Wydad,Esperance na Mamelody
Pot 2
TP Mazembe,Simba,Petro Luanda na Enyimba
Class ya simbaHawa CAF bana..
Ina maana kuna class za akina Al Ahly na class list za akina Marumo. FC..! au..
Wapi raja ?