Simba kufanya sajili tatu saa 10:30, 1:00 na saa 2:00

Simba kufanya sajili tatu saa 10:30, 1:00 na saa 2:00

Unadhani katika hao watatu ni wachezaji gani ambao unawapa karata ya kutia saini?

Najua katika hizo sajili lazima lihusishe eneo la goal keeping.

Kwangu nampa asilimia kubwa Luis Miquisson kutua. Na huyu lazima awe wa mwisho kutambulishwa
na sisi yanga tunasajili 3 na msuva yumo

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Unajua mashabiki wengine wa Yanga mpaka leo hawajui kuwa keshokutwa wana kipaimara kwasababu ya kibegi?
Hatuna hata habari na kibeg,tuko busy kujua ni lilepo makabi au lamine jarjou,msuva hatuna wasi maana ndio atakua wa mwisho kutangazwa 🤣
 
Unadhani katika hao watatu ni wachezaji gani ambao unawapa karata ya kutia saini?

Najua katika hizo sajili lazima lihusishe eneo la goal keeping.

Kwangu nampa asilimia kubwa Luis Miquisson kutua. Na huyu lazima awe wa mwisho kutambulishwa.

**********

Update

16:30

Simba imekamikisha usajili wa mshambuliaji Iddi Nado Chilunda (25) raia wa TanzaniaView attachment 2694406
Hakunaga mtu anaeitwa Idd Nado Chilunda.

Yupo Idd Suleiman "Nado" na Idd Shaaban Chilunda.
 
Simba hatupoi
Hatuboi
Watapata tabu sana

20230720_154852.jpg
 
Back
Top Bottom