Simba kufanya sajili tatu saa 10:30, 1:00 na saa 2:00

Simba kufanya sajili tatu saa 10:30, 1:00 na saa 2:00

20+ tangu mwaka gani?

Maana nyie Yanga maswala ya kuhesabu tunajua yanawapiga sana chenga na ndio maana Zakazakazi alikuja kuweka sawa baadhi ya mambo
Mambo gani?umeamini ule ujinga ambao hata kichaa hawezi kukubali? mbumbumbu ni mbumbumbu
 
Mambo gani?umeamini ule ujinga ambao hata kichaa hawezi kukubali? mbumbumbu ni mbumbumbu
Kwa hoja gani ambayo inifanye nisiamini?

Na kwa hoja gani ambayo inifanye niwaamini nyinyi?
 
Unadhani katika hao watatu ni wachezaji gani ambao unawapa karata ya kutia saini?

Najua katika hizo sajili lazima lihusishe eneo la goal keeping.

Kwangu nampa asilimia kubwa Luis Miquisson kutua. Na huyu lazima awe wa mwisho kutambulishwa.

**********

Update

16:30

Simba imekamikisha usajili wa mshambuliaji Shaaban Iddi Chilunda (25) raia wa TanzaniaView attachment 2694406

Update

19:00

Simba imekamilisha usajili wa kiungo mkabaji Abdallah Hamis.

Awali alikuwa kwenye Club ya Muhoroni nchini Kenya.

Ni mtanzania mzaliwa wa Tarime huu ni usajili mbadala wa Mkude baada ya kuondoka Simba.View attachment 2694512
1.Nusuchuma Nusumtu.2.Kifaru cha kinyarwanda(Gere boy) 3.Mkude😂😂😂
 
Centre Back

Hussen Kazi
1689875139936.png
 
Spain alikua anacheza first eleven, akaenda Morocco, akarudi Azam bado mambo magumu ngoja tuone na wish arudi kwenye form mimi ni fan wake
Vyuma wabongo unapigwa kitu kl unapoenda hakuna anaeona uyafanyayo unaonekana kiazi tu...anabahati hatakuwepo simba
 
Yaani watu wanakaa mpaka saa sita usiku kusubiria utambulisho wa mchezaji wa zamani wa Muhoroni ya Kenya, vitu vingine ni kupotezeana muda.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom