Mmanu
JF-Expert Member
- Feb 11, 2015
- 1,775
- 1,011
Hamisi Abdallah ametambulishwa saa 1 usiku hiyo saa 6 labda ukimsubiria yule namba 6 dancer wa mapiano[emoji28][emoji28]Yaani watu wanakaa mpaka saa sita usiku kusubiria utambulisho wa mchezaji wa zamani wa Muhoroni ya Kenya, vitu vingine ni kupotezeana muda.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app